MeiguluBaada ya kuapishwa kwa Dr. Tax kuwa Mbunge ni dhahiri kuwa kutakuwa na reshuffle ya baraza la mawaziri.
Ni mawaziri gani unahisi wanahitaji kupumzishwa na Mh. Rais?
Anachukua Wizara ya Fedha huyo hopefully yule gaidi Mwigulu Nchemba ataachwa nje ya Baraza la Mawaziri.
Alikuwa mfanyakazi BOT,kuongoza na kusimamia ni vipaji...Mwigulu ana akili za darasani.
..Tatizo hajafanya kazi ktk taaluma yake ya uchumi.
..alitakiwa afanye kazi ktk taasisi za masuala ya fedha na uchumi na atambulike kitaaluma ndipo aaminiwe kuwa waziri wa fedha.
Waziri Mkuu lazima awe amechaguliwa jimboniLabda ya waziri mkuu😂
Nalog off
Huyo mama niliwahi kufanya nae kazi yupo poa sana na kichwani yupo Safi Ila sababu alikuwa mtendaji Sasa wakimuingiza kwenye siasa za maamuzi Sina uhakika kama ataendelea kuwa vile. Time will tell ngoja tusibiri maneno yake bungeni na akipata nafasi zaidi.Baada ya kuapishwa kwa Dr. Tax kuwa Mbunge ni dhahiri kuwa kutakuwa na reshuffle ya baraza la mawaziri.
Ni mawaziri gani unahisi wanahitaji kupumzishwa na Mh. Rais?
Pale Jalalani kwa Kabudi!Hivi hizi PhD zao wanaokota wapi ?
Alikuwa mfanyakazi BOT,kuongoza na kusimamia ni vipaji.
MwiguluBaada ya kuapishwa kwa Dr. Tax kuwa Mbunge ni dhahiri kuwa kutakuwa na reshuffle ya baraza la mawaziri.
Ni mawaziri gani unahisi wanahitaji kupumzishwa na Mh. Rais?
Utashi wako hautatimia.Mwigulu apumzishwe abaki kuwa mbunge tu
Kassim mpaka piko mbona hakuchaguliwaWaziri Mkuu lazima awe amechaguliwa jimboni
Kaboud hasikiki kabisa sijui amezuiwa ama amejizuia kuongea
Hakuna mabeberu wa kuwatolea macho kumfurahisha mteuzi wake, sasa afanyeje zaidi ya kukaa kimya akipima upepo?Kaboud hasikiki kabisa sijui amezuiwa ama amejizuia kuongea
Waziri Mkuu ni lazima awe Mbunge wa Kuchaguliwa....ni lazima awe na Jimbo...umesikia wewe dogo?Labda ya waziri mkuu😂
Nalog off
Nimesikia Kaká mkubwaWaziri Mkuu ni lazima awe Mbunge wa Kuchaguliwa....ni lazima awe na Jimbo...umesikia wewe dogo?
Nimesikia Kaká mkubwaWaziri Mkuu ni lazima awe Mbunge wa Kuchaguliwa....ni lazima awe na Jimbo...umesikia wewe dogo?
Ahsante sana mkuuWaziri Mkuu lazima awe amechaguliwa jimboni