Baada ya kuapishwa kwa Dr. Tax kuwa Mbunge ni dhahiri kuwa kutakuwa na reshuffle ya baraza la mawaziri.
Ni mawaziri gani unahisi wanahitaji kupumzishwa na Mh. Rais?
NchembaBaada ya kuapishwa kwa Dr. Tax kuwa Mbunge ni dhahiri kuwa kutakuwa na reshuffle ya baraza la mawaziri.
Ni mawaziri gani unahisi wanahitaji kupumzishwa na Mh. Rais?
Cha kushangaza sasa miongoni mwa mamia ya wabunge walioko ccm hakuna anayefaa kuwa waziri !
Hivi hizi PhD zao wanaokota wapi ?..Mwigulu Nchemba aondolewe.
..Tz hatuwezi kuwa na Waziri wa Fedha hawezi kuongea Kiingereza.
Ph.D za wanasiasa ni kwa ajili ya kutishia. Akiona hawatishiki anaitaja kwenye TV ili nchi ijue ana Ph.D.Hivi hizi PhD zao wanaokota wapi ?
Labda anaumwa machoKaboud hasikiki kabisa sijui amezuiwa ama amejizuia kuongea
Mwigulu Lameck Madelu Nchemba,na alipumzishwa ahamie BurundiBaada ya kuapishwa kwa Dr. Tax kuwa Mbunge ni dhahiri kuwa kutakuwa na reshuffle ya baraza la mawaziri.
Ni mawaziri gani unahisi wanahitaji kupumzishwa na Mh. Rais?
Aiseee !Ph.D za wanasiasa ni kwa ajili ya kutishia. Akiona hawatishiki anaitaja kwenye TV ili nchi ijue ana Ph.D.
PhD. ina thamani inapokuwezesha kuwasiliana na dunia. Angalia sasa! Mwigulu hajawahi kuandika chapisho lolote toka ktk hiyo Ph.D. Maana yake haina lolote la kuwasilisha duniani!
Hivi hizi PhD zao wanaokota wapi ?
Hivi hizi PhD zao wanaokota wapi ?