Tutegemee Reshuffle ya Cabinet?

Ame

JF-Expert Member
Mar 14, 2011
4,303
2,000
Akili za darasani ni Tatizo la Kitaifa kwenye Ofisi Nyingi tu Tanzania...sijui suluhu yake ni nini?!
Kuwajengea uwezo wa kiutendaji...Tuache pia ku promote watu bila kuwapa real practice na exposure...Kisha kuna wengine wazuri ambao pia hawapewi nafasi ya ku practice ili waje kutumia akili zao kukwamua nchi...Kiufupi succession plab yetu ya uongozi na utaalamu ina mushkeli...Haipo objective kabisa...Ina promote watu ambao ni ma opportunist na kuacha wale ambao ni objective na rational
 
Chinga One

JF-Expert Member
May 7, 2013
11,008
2,000
Baada ya kuapishwa kwa Dr. Tax kuwa Mbunge ni dhahiri kuwa kutakuwa na reshuffle ya baraza la mawaziri.

Ni mawaziri gani unahisi wanahitaji kupumzishwa na Mh. Rais?
Ila nyie watu mnachekesha sana,mara Rais kawa held hostage,mara Rais atafanya re shuffle ya Cabinet......ukiskia kuchanganyikiwa ndio huku sasa!
 
Ninaweza

JF-Expert Member
Dec 14, 2010
11,048
2,000
Kuwajengea uwezo wa kiutendaji...Tuache pia ku promote watu bila kuwapa real practice na exposure...Kisha kuna wengine wazuri ambao pia hawapewi nafasi ya ku practice ili waje kutumia akili zao kukwamua nchi...Kiufupi succession plab yetu ya uongozi na utaalamu ina mushkeli...Haipo objective kabisa...Ina promote watu ambao ni ma opportunist na kuacha wale ambao ni objective na rational
Asante sana mkuu.
 
Matola

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
42,874
2,000
Vunja baraza lootee...
Anza upya Mma
Wabunge si ndio walewale, unafikiri angekuwa na wabunge wa maana kuwateuwa uwaziri huyu mama Tax asingeteuliwa ubunge ili apewe uwaziri.

Wabunge wa ccm wamejaa kina Kibajaj, Msukuma na watu wa hovyo kama Gwajiboy.

Ukikuta msomi ndio hawa kina Mwigulu najanga matupu akili imechoka na imezeeka wakati bado mtoto mdogo tu.

Bongo bahati mbaya.
 
data

JF-Expert Member
Apr 9, 2011
23,545
2,000
Wabunge wa ccm wamejaa kina Kibajaj, Msukuma na watu wa hovyo kama Gwajiboy.

Ukikuta msomi ndio hawa kina Mwigulu najanga matupu akili imechoka na imezeeka wakati bado mtoto mdogo tu.

Bongo bahati mbaya
😂😂😂😂😂
 
Ame

JF-Expert Member
Mar 14, 2011
4,303
2,000
Wabunge si ndio walewale, unafikiri angekuwa na wabunge wa maana kuwateuwa uwaziri huyu mama Tax asingeteuliwa ubunge ili apewe uwaziri.

Wabunge wa ccm wamejaa kina Kibajaj, Msukuma na watu wa hovyo kama Gwajiboy.

Ukikuta msomi ndio hawa kina Mwigulu najanga matupu akili imechoka na imezeeka wakati bado mtoto mdogo tu.

Bongo bahati mbaya.
Hii trap ya wabunge inahitaji mkakati...This time walijitokeza watanznaia wengi sana tena wenye sifa za kutosha but hawakuwa watoa rushwa...Upinzani ulichangia sana CCM kushindwa kuwaleta kwa uchaguzi wasomi hao...Tujilaumu watanzania wenyewe kwaku rasimisha rushwa kwenye chaguzi na siyo wasomi wetu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom