Elections 2010 Tutegemee nini kutoka kwa jk?

Mkombozi

JF-Expert Member
Feb 19, 2008
805
425
Uchakachuajia umeisha,sasa je tutegemee nini kutoka kwa JK?Mi naomba nianze na number 1. 1.Nategemea baraza lilelile la mawaziri wengi wakiwa hawana viwango vya kimataifa.Labda mmoja tu,Dr Magufuli.Toa
 
Tutegemee Cabinet yake watakuwemo Wakuu wa Mikoa na wilaya kujazwa Wanajeshi wastaafu toka JWTZ .... ili wananchi wakileta maandamano na manung'uniko ni kupelekwa jeshini kupata adhabu za kijeshi toka kwa MP (Military Police)....
Vile vile bila kusahau kurudishwa kwenye uongozi mafisadi waliokubuhu kama Lowassa, Chenge, Mramba na wengineo..... Kodi nazo kuongezeka na mfumo wa bei kuwa juuu zaidi...
 
Ulinzi kwa mafisadi... Kesi uchwara kuisha bila mpango.. ahadi hewa kuachiwa anayefuata... blah blah....
 
Kufungia magazeti na asasi za kiraia kama TGNP, twaweza, Policy forum, LHRC, Mwananchi, Raia Mwema, Tanzania Daima na Mwanahalisi
 
maisha bora kwa kila mtanzania na ajira kuongezaka aka wafungua vizibo vya bia na soda
 
Lowassa kuwa waziri mkuu, na chenge kuwa speaker wa bunge
 
Hasira za Wakristo zitaongezeka. Watu watazidi kuuibia nchi. Waumini wengi wataachana na madhehebu kama ya akina Kulola, Mokiwa, Lwakatare, Gamanywa etc.
 
Tutegemee pia majambazi kuongezeka, madada poa (machangu doa) wengiiii, watoto wa mitaani......
 
Dola kuwa sh 2000 na kuendelea,
Usanii kuzidi mtaani, baadhi ya ahadi kutimizwa lakini chini ya kiwango cha ubora,
Serekali ya washkaji na marafiki.
Mengine ongeza wewe.
 
Tutegemee Cabinet yake watakuwemo Wakuu wa Mikoa na wilaya kujazwa Wanajeshi wastaafu toka JWTZ .... ili wananchi wakileta maandamano na manung'uniko ni kupelekwa jeshini kupata adhabu za kijeshi toka kwa MP (Military Police)....
Vile vile bila kusahau kurudishwa kwenye uongozi mafisadi waliokubuhu kama Lowassa, Chenge, Mramba na wengineo..... Kodi nazo kuongezeka na mfumo wa bei kuwa juuu zaidi...
.
Awamu sijui wanajeshi watakuwa wapi maana nao wamemchakachua.
Monduli ambapo kuna wanajeshi kiasi amekosa kuongoza kama ilivyo kawe dar ambako nako kuna wanajeshi wa base ya lugalo.
Hii ni ishara kuwa hata wao hawamtaki.
Sasa sikilizi re shaffle ya wakuu wa vikosi. Sijui sababu itakuwa kushindwa kushawishi apigiwe kura au walishawishi apigiwe dr slaa?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom