Tutegemee Mabadiliko Makubwa Baraza la Mawaziri

Bowie

Bowie

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2016
Messages
3,684
Points
2,000
Bowie

Bowie

JF-Expert Member
Joined Sep 17, 2016
3,684 2,000
Kwa kauli ya Mheshimiwa Rais Magufuli baada ya sakata la machinga wa Mwanza na wachimbaji wadogo wadogo kuna dalili la Mheshimiwa Rais kufanya mabadiliko makubwa katika serikali yake.

Watendaji wake wameleta uadui mkubwa Kati ya serikali ya awamu ya tano na wananchi kiasi ambacho Rais Magufuli alionekana anaenda kinyume na ahadi alizozitoa wakati wa kampeni zake za uchaguzi mwaka jana. Hii kauli Mbiu ya hapa kazi tu inatumika vibaya hata wafanyabiashara biashara kwasasa wanawekewa kodi zisizoeleweka.

Mheshimiwa Rais Magufuli naomba upange kwa mwezi upange siku maalum ya kusikiliza kero za wananchi kwani utapata malalamiko ya watanzania wengi.

Nakumbuka Rais wa awamu ya pili alifanya hivyo, wewe binafsi una nia nzuri na Tanzania mpya lakini hawa watendaji wako wanakuangusha.
 
Tukundane

Tukundane

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2012
Messages
9,698
Points
2,000
Age
53
Tukundane

Tukundane

JF-Expert Member
Joined Apr 17, 2012
9,698 2,000
Mabadiliko makubwa yafanyike kwa sababu ya wamachinga wa Mwanza?.
 
IGUDUNG'WA

IGUDUNG'WA

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2011
Messages
2,049
Points
2,000
IGUDUNG'WA

IGUDUNG'WA

JF-Expert Member
Joined Oct 22, 2011
2,049 2,000
Prof. Wa mawe apumzishwe tu hana tija. Na yule jamaa anaesema dangote anataka gesi ya bure.... akiambiwa alete ushahidi sijui itakuwaje
 
Ndetirima

Ndetirima

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2011
Messages
955
Points
250
Ndetirima

Ndetirima

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2011
955 250
Hakuna mabadiliko yoyote yatakayofanyika na rais hawezi kusikiliza kero za wananchi wakati anao watendaji wake aliowateua kwa kuwaamini na kuwaagiza cha kufanya na wanafanya kama alivyowaagiza.
 
M-mbabe

M-mbabe

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2009
Messages
7,909
Points
2,000
M-mbabe

M-mbabe

JF-Expert Member
Joined Oct 29, 2009
7,909 2,000
Kwa kauli ya Mheshimiwa Rais Magufuli baada ya sakata la machinga wa Mwanza na wachimbaji wadogo wadogo kuna dalili la Mheshimiwa Rais kufanya mabadiliko makubwa katika serikali yake.

Watendaji wake wameleta uadui mkubwa Kati ya serikali ya awamu ya tano na wananchi kiasi ambacho Rais Magufuli alionekana anaenda kinyume na ahadi alizozitoa wakati wa kampeni zake za uchaguzi mwaka jana. Hii kauli Mbiu ya hapa kazi tu inatumika vibaya hata wafanyabiashara biashara kwasasa wanawekewa kodi zisizoeleweka.

Mheshimiwa Rais Magufuli naomba upange kwa mwezi upange siku maalum ya kusikiliza kero za wananchi kwani utapata malalamiko ya watanzania wengi.

Nakumbuka Rais wa awamu ya pili alifanya hivyo, wewe binafsi una nia nzuri na Tanzania mpya lakini hawa watendaji wako wanakuangusha.
hamna mkuu, ni movie tu. wamesikia "kata funua" ndo maana!
 
Bowie

Bowie

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2016
Messages
3,684
Points
2,000
Bowie

Bowie

JF-Expert Member
Joined Sep 17, 2016
3,684 2,000
Mabadiliko makubwa yafanyike kwa sababu ya wamachinga wa Mwanza?.
Sio Mwanza bro hali ni mbaya hawa watendaji wanamuuangusha mkuu wa kaya ukianzia wafanyabiashara, wavuvi wafanyakazi, wafanyabiashara wadogo ni kilio you.
Mpaka sasa TRA haijatoa makusanyo ya Nov. Je Rais Magufuli akae kimya wakati jahazi lina zaama.
 
habari ya hapa

habari ya hapa

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Messages
12,767
Points
2,000
Age
32
habari ya hapa

habari ya hapa

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2012
12,767 2,000
kwanini unafikiria kuwa atafanya mabadiliko
kwani yeye alishasema kuwa alowateua wanamuangusha au ni hisia zako tyu
 
M

mangatara

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2012
Messages
12,443
Points
2,000
M

mangatara

JF-Expert Member
Joined Jul 6, 2012
12,443 2,000
CCM ni makomandoo. Alijua kuwa Mbowe keshaandaa OKF(Operation Kata Funua) akajua kuwa ameshaipoteza dasilama kabisa, akapoteza Mbeya kabisa, sasa mji wa kituo cha kwendea nyumbani Mwanza nao ndo ameupoteza mazima, Hata wangeiba kura zoote bado watu wangempinga. Akaamua, usafi tupotee machoni pa watu au niwarudishe hao wachafu kabla sijapotezwa?
Tatizo ni kuwa, sasa kawachongea hao wapambe walio vunja vibanda. Watathubutu kwenda dai tena kodi???
 
Ulukolokwitanga

Ulukolokwitanga

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2010
Messages
8,416
Points
2,000
Ulukolokwitanga

Ulukolokwitanga

JF-Expert Member
Joined Sep 18, 2010
8,416 2,000
Mwenye taarifa za makusanyo ya Mwezi November naomba ani PM maana naona hayawekwi hadharani na ile Sheria ya Makamba inatisha Sana bora nipokelee PM. Nisije kuambiwa nahatarisha usalama wataifa bure
 
P

pilipili kichaa

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2013
Messages
8,870
Points
2,000
Age
51
P

pilipili kichaa

JF-Expert Member
Joined Sep 3, 2013
8,870 2,000
Kaazi kweli kweli awamu hii! ngoja nilimie kucha!
 
Viatu vya Samaki

Viatu vya Samaki

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2015
Messages
17,502
Points
2,000
Age
76
Viatu vya Samaki

Viatu vya Samaki

JF-Expert Member
Joined May 11, 2015
17,502 2,000
Mbona baada ya tetemeko Kagera hatukutegemea mabadiliko kwenye wizara ya Mazingira na hadi sasa waziri wake anapeta ?
 
T

treborx

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Messages
4,561
Points
2,000
T

treborx

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2015
4,561 2,000
Hata akifanya mabadiliko atateua kutoka kwenye chama kile kile. Kwani kutakuwa na tofauti gani???
 
Elli

Elli

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2008
Messages
31,408
Points
2,000
Elli

Elli

JF-Expert Member
Joined Mar 17, 2008
31,408 2,000
Watendaji wake wameleta uadui mkubwa Kati ya serikali ya awamu ya tano na wananchi kiasi ambacho Rais Magufuli alionekana anaenda kinyume
Watasema wametumwa na UKAWA
 
R

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Messages
17,087
Points
2,000
Age
22
R

Retired

JF-Expert Member
Joined Jul 22, 2016
17,087 2,000
Kwa kauli ya Mheshimiwa Rais Magufuli baada ya sakata la machinga wa Mwanza na wachimbaji wadogo wadogo kuna dalili la Mheshimiwa Rais kufanya mabadiliko makubwa katika serikali yake.

Watendaji wake wameleta uadui mkubwa Kati ya serikali ya awamu ya tano na wananchi kiasi ambacho Rais Magufuli alionekana anaenda kinyume na ahadi alizozitoa wakati wa kampeni zake za uchaguzi mwaka jana. Hii kauli Mbiu ya hapa kazi tu inatumika vibaya hata wafanyabiashara biashara kwasasa wanawekewa kodi zisizoeleweka.

Mheshimiwa Rais Magufuli naomba upange kwa mwezi upange siku maalum ya kusikiliza kero za wananchi kwani utapata malalamiko ya watanzania wengi.

Nakumbuka Rais wa awamu ya pili alifanya hivyo, wewe binafsi una nia nzuri na Tanzania mpya lakini hawa watendaji wako wanakuangusha.
He can not dare doing that! Wamebaki kukimbizana na wapinzanni
 
gungele

gungele

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2015
Messages
1,668
Points
2,000
Age
34
gungele

gungele

JF-Expert Member
Joined Jan 8, 2015
1,668 2,000
Nakuunga mkono , maana katika ahadi za mtukufu kwamba akishinda imo ile ya kulimia meno .

Kwanza si kweli kwamba yanayotendeka Magufuli hayajui .
exactly,
maagizo huwa yanatoka juu,,
na yeye ni mkuu wa walioko juu
 
M

MgonjwaUkimwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2006
Messages
1,308
Points
2,000
M

MgonjwaUkimwi

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2006
1,308 2,000
Sijui nani anamwangusha nani kwenye utawala huu, sijui. Ila najuwa wapinzani ndio wanatuangusha zaidi.
 
M

Mansander

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2016
Messages
345
Points
250
M

Mansander

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2016
345 250
Hakuna mabadiliko yoyote ya baraza la mawaziri, safu imekamilika vizuri, wanachapa kazi kama wanavyoelekezwa na wametoka upande ambao hautiliwi shaka?
 
Forum statistics

Threads 1,285,404
Members 494,595
Posts 30,860,650
Top