Usishangae kufungwa nne na newcastleInawezekana leo Oktoba 7, 2021 waarabu wa Saudia wakainunua Newcastle United.
Uwekezaji unategemewa kua mkubwa zaidi ule wa City, hii italeta vita kubwa sana kuwania nafasi 4 za juu kushiriki UEFA.
Tutegemee kua na Top 7 au tutabaki na Top 6?View attachment 1966638
Haya mambo yalianza na akina abramovich wengine wottr mkaanza kuigaMan utd anazidi kupotea kwenye ulimwengu wa mpira .....
Money ,money ,money ....
Newcastle inaanza kuleta bato top 4
So arsenal yngu ndo haipo kbsa?Chelsea na Man City zitabaki top 4 kwasababu ya wamiliki wao, Newcastle anakwenda kuungana nao. Nafasi ya mwisho ya top 4 itakuwa ni kinyang'anyiro kati ya Man U na Liverpool.
Arsenal atapambana na mtani wake Spurs kucheza Europa 🤣🤣So arsenal yngu ndo haipo kbsa?
Ha haaaaaaaa daaaahArsenal atapambana na mtani wake Spurs kucheza Europa 🤣🤣
Kivipi wewe mkata majani?..Man utd anazidi kupotea kwenye ulimwengu wa mpira .....
Money ,money ,money ....
Newcastle inaanza kuleta bato top 4
Inawezekana leo Oktoba 7, 2021 waarabu wa Saudia wakainunua Newcastle United.
Uwekezaji unategemewa kua mkubwa zaidi ule wa City, hii italeta vita kubwa sana kuwania nafasi 4 za juu kushiriki UEFA.
Tutegemee kua na Top 7 au tutabaki na Top 6?View attachment 1966638
260 billion
hilo haliwezekani