Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,868
Japo Rais Jk jana kusisitiza hakurokuwepo kwa kipengele cha Dini katika sensa leo kiongozi wa Waislam akihojiwa adai kuwa hata iweje kama hakuna kupengele cha dini hawaki tayari kuhesabiwa ikiwa hata wakifungwa jela mpaka kipengere kirejeshwe.
Dhamira kuu ni;
1. Wakristu wanasema wao ndio wengi wanataka waesabiwe ili ijulikane nani wako wengi.
2. Ajira ziwe sawa kati ya wakristo na waislam kwani mwanzo walidai hawana wasomi na sasa wako wengi sana wanataka usawa jwenye ajira
3 . Wakristo wanapewa misaada na serikali wakati wao ni wachache na wanataka kujulikana kuwa na wao ni wengi zaidi na wapewe misaada kama wenzao