Tutazame kwa kina hili vijana wenzangu; | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tutazame kwa kina hili vijana wenzangu;

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Handsome, Jul 7, 2011.

 1. H

  Handsome Member

  #1
  Jul 7, 2011
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 87
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kimsingi nimependezwa sana na kila mmoja wenu waliochangia mada yangu,nimefurahi sana kwa asilimia kubwa kuniponda na kutoa maneno yaliojaa kejeli matusi na dharau tele,nchi hii ni ya demokrasia hivyo kika mmoja wenu anaweza zungumza na kutoa comment zake anavyo jisikia,nimevutiwa zaidi na Sabry,Visenti,Rose,Senetor,Mdudu washawasha,Elli,dena,First Lady,Mentor,Osodo;Hayati nk,wametoa comment njema,ni muhm kujua kwamba kila mtu huwa na namna yake ya kuwasilisha mada zake pengine literal meaning or artistry,si vema kudhalilisha chuo anachosoma mtu hata kama uwezo wako wa kudadavua mambo ni finyu,kuheshim fikra za mtu ni jambo jema sana,pia kukusoa kwenye mantiki bila matusi ni jambo jema zaidi,hii inatuonesha wengine ni aina gani za familia tumetoka,either immoral families or moral standard families,tusifanye mambo through feelings or On Principle rather IN PRINCIPLE ktk hili tutafika mbali,kuheshim wengine na kupata fursa ya kuwasikiliza ni hoja mbadala yakulete tija kwa kika changamoto ilio mbale zetu,kuwapa fursa ya kujieleza na kufanya CLARIFICATION pale panapobidi ni vema kuliko kimsemea,kimsingi,nime Dhalilishwa sana,Nimeonewa sana na Nimesikitishwa sana na hili,nitaendelea kutoa ufafanuzi pale inapobidi na nawasihi tuwe na uvumilivu wa kijamii as politician walivyo na POLITICAL TOLERANCE;unless otherwise tayari tungikuwa tunaishi ktk UNREST life,again namshukuru sana Lizz,First Lady,Hayati nk,kwa kunipa moyo na kuonesha kunivumilia kwa kila nilipo onesha kuwa kikwazo kimtizamo kwao,naomba kutoa HOJA.
   
 2. Rogie

  Rogie JF-Expert Member

  #2
  Jul 7, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 6,277
  Likes Received: 3,008
  Trophy Points: 280
  Wengine tushasahau ulileta nn humu ndo ikawa hvyo...ungetuwekea link ya hzo/hyo thread kutumkumbusha ingekuwa mzuka zaidi mkuu.
   
 3. NTINGINYA

  NTINGINYA JF-Expert Member

  #3
  Jul 7, 2011
  Joined: Oct 5, 2010
  Messages: 255
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  jambo jema zaidi,hii inatuonesha wengine ni aina gani za familia tumetoka,either immoral families or moral standard families,tusifanye mambo through feelings or On Principle rather IN PRINCIPLE ktk hili


  Kijana kumbe bado hujajifunza chochote na mada yako iliyo pita bado unaendeleza pumba
   
 4. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #4
  Jul 7, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Kwakweli handsome boy unapoteza muda wako chuo ikiwezekana usijiingize kwenye deni kubwa Loans board jaribu hata kuuza mitumba kama Mwisho wa Big brother,hata ukimaliza chuo uwezekano wa kushindana na Kamau au Onyango katika soko la ajira EAC ni finyu we tegemea maumivu tu.
   
 5. charger

  charger JF-Expert Member

  #5
  Jul 7, 2011
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 2,324
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Dogo ulikaa chini ya mchungwa ukisubiri nazi zidondoke?
   
 6. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #6
  Jul 7, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  waliokutukana hawajakosea...soma tena ulichokiandika...na walio kupa moyo walikuwa wanakuinjoi mh waziri ulieenda south.
   
 7. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #7
  Jul 7, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,872
  Likes Received: 6,222
  Trophy Points: 280
  usiku mwema jama,ntarudi kesho maana nikijibu ucku huu ntbngukia kwenye moral n immoral families!
   
 8. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #8
  Jul 7, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,872
  Likes Received: 6,222
  Trophy Points: 280
  bt uwe mvumilivu unapocomment au post mada usitarajie kupata response unazozitaka ww tu. Zaid zingatia lugha unayotumia. La utakuja na malalamiko daily
   
 9. Sabry001

  Sabry001 JF-Expert Member

  #9
  Jul 7, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,064
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  smtimes unapo2kanwa au kukashfiwa ktk netwak za kijamii km hii unatakiwa umezee, usirudierudie kulalamika km ulivokuja kuanzisha thred hii huku na hyo ndo POLITICAL tolerance otherwise km unataka uendelee kuwa insulted hata pale unapotoa mada za maana
   
 10. Sabry001

  Sabry001 JF-Expert Member

  #10
  Jul 7, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,064
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  endelea kulalamika na elewa moral or immorality haipimwi kwa mere coments za hapa na pia whats immoral to u might be very moral and decent to another person so BE CAREFUL AND WATCH UR FINGERS ONE!
   
 11. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #11
  Jul 8, 2011
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  hahahaha aumie tu
   
 12. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #12
  Jul 8, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  nahisi uchungu sana lakini nakuhakikishia huyu mdogo wangu asipobadilika hatoki kimahusiano wala kimaisha YOU CAN TAKE THAT TO THE BANK.
   
 13. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #13
  Jul 8, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,184
  Likes Received: 567
  Trophy Points: 280
  Duh pamoja na kuandika paragraph ndefu isiyo na kituo wala nini sijaambulia hata moja. Sijui na mimi nitakuwa nimetokea kwenye moja kati ya hizo familia alizotaja
  Kijana Handsome kaa chini ufikirie unataka kufanya nini na nini mustakabali wa maisha yako na malengo yako ni nini. Kwa hali kama hii kusonga mbele katika maisha ni kudogo sana na naona kama njia kwako imefungwa. Uko chuo sawa kabisa ila naona kama elimu bado haijakusaidia kufunguka kwenye uhalisia wa maisha. Hutofanikiwa si kimaisha tuu hata katika dhana nzima ya mahusiano kama bado utakuwa na hali uliyo nayo. Kaa chini na jifunze upya skills za maisha. Huku mtaani ni shule mpya tofauti na hapo ulipo na ukilemaa kidogo huku mtaani yaani utasombwa vibaya sana.
   
 14. Tulizo

  Tulizo JF-Expert Member

  #14
  Jul 8, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 849
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Young man, Mr. "Handsome" The idiom “look before you leap” is used to remind you think carefully about the possible results or consequences before doing something. If you react again with “pumba” it doen’t help your career rather than continues to expose your ignorance.

  There’s something in our mind-set that keep us to react negatively with possibly a well deserved positive feedback (albeit given in a negative way).
  You should have aknowledged all comments received from other folks as compliments for you to know your weakness. It is indeed ulimwaga pumba kama kwenda SA, handsome etc.. But it doesn’t matter if you let bygone be bygone and concetrate with your future.

  Fanyia kazi hivi vifuatavyo!

  Stop pointing out your weaknesses: A compliment isn’t about your weaknesses, it’s about your strengths. There’s plenty of time to focus on improving faults.

  Stop putting yourself down: One reaction to compliments is to say “I don’t deserve it” and list reasons why. Elimu ya nyumbani wote tumepitia na tunaijua. Huwezi kujua kama elimu yetu bado iko chini hadi uangaike.. Mitandao na JF inatosha kupanua kichwa chako! Fikiria maisha yako ya baadaye badala ya kujiona ni Handsome na kuangaika na mbinti..

  All the best!
   
 15. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #15
  Jul 8, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Dogo, kamwe mtu hawezi kosoa chungwa bila kuangalia mchungwa, hata watoto hurandana na mzaa chema

  Kwa wewe ulianza na sifa, tambo na "broken English" - cha kwanza tulikuangalia wewe, na cha pili tuliangalia chuo chako... si ajabu wengine waliangalia hadi family yako

  Ni vema ujifunze namna ya kuingia kwenye makundi ya watu, wewe ulikuja na gia kubwa sana, wakati post ilikua na matatizo sana hasa kwenye ubora na namna ya kufikisha ujumbe

  Lengo ni kukusaidia
   
 16. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #16
  Jul 8, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  You can be taught to read, but you can't be taught to improvise
   
 17. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #17
  Jul 8, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,748
  Likes Received: 416,592
  Trophy Points: 280
  pole sana na masimango yote uliyoyakutana nayo.............lakini usivunjike moyo endelea kutupasha habari
   
 18. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #18
  Jul 8, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Hongera..
  Kumbuka kila mtu ana opinion
  tofauti juu ya kitu hapa JF.

  .. utapata watakao ku support na wengine
  wanatoa hasira za kazini humu.....
   
 19. LD

  LD JF-Expert Member

  #19
  Jul 8, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Handsome, mmh haya bwana, mi wala sikuchangia hiyo thread niliisoma kufika katika nikachoka nikaacha nikidhani nakuelewa vibaya. Mmmh kumbe nilikuelewa....Acha misifa ya kijinga mkaka. Mkaka na misifa wapi na wapi, dah hehu jifunze kuishi na watu bana.
   
 20. Mabagala

  Mabagala JF-Expert Member

  #20
  Jul 8, 2011
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,465
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Ile thread ilipotea ilikuwa inapostiwa facebook bahati mbaya ikaja huku! Muoneeni huruma mwenzenu amelalamika mno. Kwanza mzuri hata roommate wake anajua, pia kaenda sauz, halafu nyinyi hapa Jamii Forum hamna aonae uzuri wake.
   
Loading...