Emma M Bai
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 223
- 126
Wanawake wenye makalio makubwa wanapata shida sana kariakoo hasa wanapotembea mizigo ikitikisika
Tufanyaje ili jamii iwaone ni binadamu kama wengine
Mwenyezi mungu kawaaumba hivyo na maumbo makubwa lakini jamii inawanyanyasa sana