Kwa wale wanaotumia Iphone 2G,3G,3Gs na 4G wakitaka kutumia internet hawana haja ya kwenda network provider wanachotakiwa kufanya ni kufungua akauntiKenya.
Shukrani za pekee kwa mtoa maada na JF kwa ujumla maana kimekuwa ni kituo cha mafundisho ya kila aina. Nifanye nini kama simu yangu inazizima kujirestart wakati wa kureply maada mbalimbali? Simu yangu ni Nokia 630 original.
Shukrani za pekee kwa mtoa maada na JF kwa ujumla maana kimekuwa ni kituo cha mafundisho ya kila aina. Nifanye nini kama simu yangu inazizima kujirestart wakati wa kureply maada mbalimbali? Simu yangu ni Nokia 630 original.
Mkuu simu yangu ni nokia 6680 sasa jinsi face yake ilivyo nashindwa kuzibonyeza kwa nguvu na kwa pamoja *,cha kupigia simu,namba 3 na hiyo ya kuwashia,ili niiflash,A Soft-reset - the process of resetting all the settings of the phone to the factory default! No applications are deleted..input *#7780#,
Hard reset- is like formatting a drive! It does format the memory. Everything that has been installed after the first use of the phone is deleted! It will recover the memory of the phone to the state you purchased it..input *#7370#
Kwa simu zinazotumia Symbian operating system, S60 v2, simu kama Nokia N70, 6260, N90 etc. kuFormat Internal Drive, hakikisha simu ipo fully charged, izime then press and hold ( * button, call key, 3 key and power on button),,usiachie mpaka simu iandike formating..hii process ni kama kuFlash simu!!
For Nokia 5800 XM: In this case, press the keys at once ( Red (End) + Green (call) + Photocamera Button and hold ) usiachie then switch on the mobile.
For Nokia N97: Press both ( Shift keys + space bar and Back Shift, hold them ) and turn on the phone.
Note: All data will be lost during this process, so back up all your data before you go for these procedures..
For Uiq3 phones like Sonyericsson P990i, M600, W950..etc.( jog dial up, * ,jog dial down, jog dial down, * , jog dial down, * ) The Service information screen contains following options: Service information, Service tests and Format internal disk.
Reset Your iPhone
Press and hold the Home Button and the Sleep Button to Reset your iPhone. A white light will flash, the screen will shut off and then turn back on. Please keep holding both buttons until the screen turns back on.
try searching for a solution for ur phone before taking it to a fundi'....:spy::spy:
Mkuu simu yangu ni nokia 6680 sasa jinsi face yake ilivyo nashindwa kuzibonyeza kwa nguvu na kwa pamoja *,cha kupigia simu,namba 3 na hiyo ya kuwashia,ili niiflash,
Mkuu simu yangu ni nokia 6680 sasa jinsi face yake ilivyo nashindwa kuzibonyeza kwa nguvu na kwa pamoja *,cha kupigia simu,namba 3 na hiyo ya kuwashia,ili niiflash,
mkubwa hiyo jaribu hivyohivyo kuzibonyeza hizo button ukizingatia maelezo yaliyoandikwa hapo juu, unaweza saidiwa kubonyeza na mtu aliye karibu yako pia....
Hamna shaka wakuu,ngoja nimsubiri my wife wangu ili 2saidiane kuzibonyeza hizi buttonnikweli kabisa mkuu. mnagawana key anabonyeza key mbili na mwingine mbili kitu kinajipa
Nashukuru mkuu,nitafanyia kazi haya maelezo.View attachment 28482
- First, turn your device off.
- Remove sim card and MMC card (actually, you do not need to remove these, but after format remember to format memory card and reboot the phone).
- Press and hold 3 keys; Green dial key, * Star key, no. 3 key on keypad Together.
- Turn your device on while you are pressing the three buttons.
- You should now see "Formatting .." on the Screen! Leave the buttons now.
Second method
- 1
You can remove the mmc but keep the sim card and restart your phone.- 2
Then press the keys *#7370#.- 3
The phone would ask a confirmation.- 4
Select yes. Then it will ask for a code.The code is 12345 (the default). Now you are finished, your phone will restart with all the phone memory formatted.
4g ni nzuri kwa kuwa ni latest na speed ya internet kidogo ni kasi na kamera yake ina taa pamoja na megapixel wameongeza na unaweza kuplay video in HD lakini 3GS ni nzuri na ni imara sana kuliko 4g unaweza ukaidondosha isiharibike kama zilivyo simu nyingi kwa sasa,nikumbushe kidogo OS zake ni hizo hizo hazitofautiani ila ukinunue baadhi ya apps zinatofautiana kidogo hasa za masuala ya camera,ukubwa hazitofautiani sana kuna 3gs ya 8gb,16gb na 32 gb hali kadhalika 4gb wao wanaanzia 16 gb na kuendelea.
vipi bei?