Zing
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 1,767
- 470
4g ni nzuri kwa kuwa ni latest na speed ya internet kidogo ni kasi na kamera yake ina taa pamoja na megapixel wameongeza na unaweza kuplay video in HD lakini 3GS ni nzuri na ni imara sana kuliko 4g unaweza ukaidondosha isiharibike kama zilivyo simu nyingi kwa sasa,nikumbushe kidogo OS zake ni hizo hizo hazitofautiani ila ukinunue baadhi ya apps zinatofautiana kidogo hasa za masuala ya camera,ukubwa hazitofautiani sana kuna 3gs ya 8gb,16gb na 32 gb hali kadhalika 4gb wao wanaanzia 16 gb na kuendelea.
:A S 13: