Tutasoma huku tumekaa chini Mpaka lini? Serikali haioni hili tatizo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tutasoma huku tumekaa chini Mpaka lini? Serikali haioni hili tatizo?

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Mar 25, 2010.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Mar 25, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,605
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  Mwalimu Samwel Nyamsangya, wa Shule ya Msingi Saranga iliyopo Kimara Temboni, jijini Dar es Salaam, akiwafundisha wanafunzi 200 wa darasa la pili jana huku wakiwa wameketi chini kutokana na ukosefu wa madawati. Shule hiyo ina jumla ya wanafunzi 1,080.
   
 2. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #2
  Mar 25, 2010
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  italionaje huku watoto wao wanasoma ulaya na kwenye academies?
   
 3. kilemi

  kilemi JF-Expert Member

  #3
  Mar 25, 2010
  Joined: Mar 13, 2009
  Messages: 520
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Mbona ticha kaulamba namna hii, alishtukia deal la picha nini?
   
 4. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #4
  Mar 25, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Haya ni matatizo ya nchi yetu, nilidhani ni huku mikoani tu kumbe hata Dar matatizo haya yapo!
   
Loading...