TUTARUDIA HOTUBA YA Mh. CHRISTINA LISSU NA Mh. ZITO KABWE KUANZIA SAA 8.30Mch. Leo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TUTARUDIA HOTUBA YA Mh. CHRISTINA LISSU NA Mh. ZITO KABWE KUANZIA SAA 8.30Mch. Leo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Arusha Mambo, Jun 18, 2012.

 1. Arusha Mambo

  Arusha Mambo Senior Member

  #1
  Jun 18, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 174
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Arusha Mambo, itarudia hotuba ya Mh. Christina Lissu na Mh. Zitto Zuberi Kabwe, walizozitoa leo Bungeni:

  Christina Lissu akizunguamzia Hali ya Uchumi na Mpango wa Taifa wa Maendeleo wa Miaka Mitano na Mh. Zitto Kabwe akiwasilisha Bajeti Mbadala:

  Sikiliza kupitia:

  Arusha Mambo - Website Coming Soon!
  Click "Sikiliza Arusha Mambo FM....."
  KISHA Like the Redio>
   
 2. T

  Twimane Member

  #2
  Jun 18, 2012
  Joined: Jul 22, 2009
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naomba kuuliza mhe. christina Lissu ni mke wake tundu lissu?
   
 3. M

  Mkekuu JF-Expert Member

  #3
  Jun 18, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  hapana ni dada yake.
   
 4. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #4
  Jun 18, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 730
  Trophy Points: 280
  Chama ndugu hicho a.k.a chama cha kiukoo! wabunge wa viti maalumu ni maalumu kweli. Tafakari chukua hatua.
   
 5. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #5
  Jun 18, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  oyaaa kuweni na ustaarabu, uchakachua thread ni utoto
   
 6. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #6
  Jun 18, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  mkuu tunaweza pata japo softcopy?
   
 7. s

  sawabho JF-Expert Member

  #7
  Jun 18, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,504
  Likes Received: 946
  Trophy Points: 280
  Christina Lissu !!! and another is Tundu Lissu !!!!!! All full in Mjengoni ? Why ?
   
 8. Goheki

  Goheki JF-Expert Member

  #8
  Jun 18, 2012
  Joined: Aug 23, 2011
  Messages: 270
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  sera za cdm zinasema ili uwe kiongozi,ni lazima uwe umefanyia chama kitu,watumishi na wafanyabiashara wengi ni waoga kuonyesha kuunga mkono upizani.
   
 9. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #9
  Jun 18, 2012
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Ndio waliopambana kupata jimbo la kwanza singida, hiyo ndio chachu ya kupata wabunge wengine sehemu nyingine

   
 10. Radhia Sweety

  Radhia Sweety JF-Expert Member

  #10
  Jun 18, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 4,448
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  Kwanini Chadema kuna kina Lissu wengi namna hii? Tundu Lissu, Christina Lissu, Cecilia Lissu, Joachim Lissu, Mapillya Lissu.
   
 11. ALEX PETER

  ALEX PETER Senior Member

  #11
  Jun 18, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 117
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mbona hamna kitu mpaka saa hizi
   
 12. Kinyamagala

  Kinyamagala Senior Member

  #12
  Jun 18, 2012
  Joined: Oct 13, 2011
  Messages: 154
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  moses nnauye,nape nnauye,yusuf makamba,januari makamba,husein makamba hafsa makamba,hanifa makamba,vita kawawa,zena kawawa,zainab kawawa,sophia kawawa,rashid kawawa na hii nayo tuiiteje?ukabila,udini au ujimbo?
   
 13. M

  Mgelukila JF-Expert Member

  #13
  Jun 18, 2012
  Joined: May 27, 2012
  Messages: 224
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwani ccm hakuna majina ya baba mwana na wajukuu? Cdm ukijitoa kupigania chama hakikutupi,
   
 14. M

  Mkwanda Senior Member

  #14
  Jun 18, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 123
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Duh!kaka umetisha,cdhani kama watarudi tena.
   
 15. EBENEZA MT

  EBENEZA MT JF-Expert Member

  #15
  Jun 18, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 264
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Sam sita, magret sita, sam malichela, anna malichela, willi malichela,
   
 16. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #16
  Jun 18, 2012
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,499
  Likes Received: 2,743
  Trophy Points: 280
  Wewe Sweety kweli Sweet na uko ki-Sweety!! Ndiyo maana haijui kufikiria!!

  Sasa unashangaa nini watu wa familia mmoja kuwa wanachama wa chama kimoja. Mbona Riz1, Mwanaisha...... wako CCM na hushangai. Au nitajie kigogo mmoja wa CCM kwa jina ambaye ndugu yake yuko upinzani zaidi ya Kiboko Nyerere (yule kiboko ya Mkapa, nimemsahau jina lake la kwanza). Mbona Malecela alikuwa mjengoni na Mkewe, Msekwa alikuwa mjengoni na mkewe. Abdala Kigoda na Asha Kigoda...... then watoto wa vigogo........... akina January Makamba, David Matayo Msuya, Vita Kawawa n.k. Hapo unazungumzia chama kilichoanzishwa 1954 ( kwa jina la TANU........ au 1920s kwa jina la TAAA)!!
   
 17. s

  slufay JF-Expert Member

  #17
  Jun 18, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,372
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Hata nec ya ccm kuna nape,makamba,rz1,benki kuu usiseme ardhi usisemi, na taasisi zake,,, walioko cdm ni wapiganaji cream ambao bado hawajachakachuliwa,,,,,, Tupime uwezo wa mtu si UNAZI wa CHAMA
   
 18. M

  Mkekuu JF-Expert Member

  #18
  Jun 18, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Safi kakupata.huyo pandikizi.
   
 19. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #19
  Jun 18, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Wanatoka ukoo mmoja na Tindu Lissu. Mimi sijali sana mtu akitoka ukoo mmoja na mtu kuwa kiongozi ili mradi ana vigezo. Huyu dada ni very bright alisoma Chuo miaka hiyo alisoma uchumi na alipasua sana masomo na kuajiriwa kampuni za maana tu. Bora hawa? Je yule wa mwenyenyumba ambaye anasaidiana na mzee kwa upande wa UVSSM yeye ana elimu gani, tena huyo si baba na mtoto? Mbona huko kwa magamba wako wengi sana, wanabebana, watoto, baba, shangazi, mjomba, jirani, binamu, mpwa, etc na wote hao vihiyo mbona hatusemi? Long live Lissu's, they are bright!!
   
 20. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #20
  Jun 18, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280

  Shikamoooooooooooooooooooooooo. Naenda kukugongea na like kabisa!! Pigilia msumari na nyundo la zege!!
   
Loading...