mbongokazi
Senior Member
- Dec 31, 2015
- 110
- 23
Ndungu wanajamvi, wiki hii ni wiki inayosheheni matukio makubwa mawili. Moja nila utoaji ripoti ya watumishi hewa na upotevu wa mishahara yao mikononi mwa wakurugenzi wa halmashauri, jambo ambalo linapingana na kaulimbiu ya HAPA KAZI Tu.
Jambo la pili ni yatokanayo na ripoti ya CAG ikiwa nipamoja na matumizi ya fedha za serikari katika halmashauri na mashirika ya umma. Watendaji wengi katika ripoti hii ni wakurugenzi wa halmashauri, manispaa na majiji.
Halmashauri nyingi zimepata hati chafu, na zenye mashaka.
Je, sababu zote mbili zitasalimisha wakurugenzi wa halmashauri wasitumbuliwe kwa asilimia 90? HAPA KAZI TU!
Tunahitaji wakurugenzi wapya watakaoweza kuendana na kauli mbiu ya hapa kazitu! Wewe unasemaje? Karibu!