Tutarajie nini kutoka kwa Waziri mpya wa Viwanda na Biashara(Joseph Kakunda)?

ichumu lya

JF-Expert Member
Aug 11, 2016
2,605
2,729
Mwaka mmoja unayoyoma tangu Mwiguru afukuzwe Uwaziri nakukabidhiwa Kange Lugola lakini sijaona jipya alikuja naye licha ya matamko yasiyo yaisheria nakukurupuka mala mbwa kupotea na Kupatikana.

Sasa Tutegemee nini kutoka kwa Waziri mpya wa viwanda baada ya Mwijage kujenga viwanda 3000?

Je Waziri George Umekuja na mpango gani wa ujenzi wa viwanda badala ya viwanda vya kwenye vitabu kama uchumi wetu unaokuwa kwenye vitabu na wananchi wanaendelea kufirisika? Je Umekuja na manene au matendo?
 
Hii keki ni yetu wote.. lazima kila mtu aonjepo walau kidogo.....
 
Mwaka mmoja unayoyoma tangu Mwiguru afukuzwe Uwaziri nakukabidhiwa Kange Lugola lakini sijaona jipya alikuja naye licha ya matamko yasiyo yaisheria nakukurupuka mala mbwa kupotea na Kupatikana.

Sasa Tutegemee nini kutoka kwa Waziri mpya wa viwanda baada ya Mwijage kujenga viwanda 3000?

Je Waziri George Umekuja na mpango gani wa ujenzi wa viwanda badala ya viwanda vya kwenye vitabu kama uchumi wetu unaokuwa kwenye vitabu na wananchi wanaendelea kufirisika? Je Umekuja na manene au matendo?
Ameliwa kichwa mapema sana
 
Back
Top Bottom