Tutaonana AHERA mama! Lazaro | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tutaonana AHERA mama! Lazaro

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kilimasera, May 12, 2011.

 1. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #1
  May 12, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  MKAZI wa Kipunguni ‘B’ Joseph Lazaro (29), amekutwa amekufa chumbani kwake na kuacha ujumbe kwa mama yake kipenzi.
  Lazaro alijiua mwenyewe kwa kutumia nguo na alikutwa na ujumbe katika mifuko yake ya suruali aliyokuwa amevaa.

  Kamanda wa Polisi Ilala, Faustine Shilogile amesema kuwa, Lazaro alijiua jana Mei 11, mwaka huu, huko eneo la Kipunguni

  Shilogile alisema kuwa, marehemu huyo alikutwa chumbani kwake akiwa tayari ameshafariki na alipopekuliwa alikutwa na ujumbe uliosema “nakupenda sana mama lakini mimi natangulia tutaonana ahera” ulisema ujumbe huo,

  Hata hivyo Kamanda huyo alsiema chanzo cha kujinyonga kwake bado hakijapatikana, maiti imehifadhi chumba cha maiti Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa uchunguzi.
   
Loading...