Tutangulize maslahi na heshima ya utu na si maslahi ya makundi katika kujadili muswada wa katiba na | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tutangulize maslahi na heshima ya utu na si maslahi ya makundi katika kujadili muswada wa katiba na

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by Consigliere, Apr 9, 2011.

 1. Consigliere

  Consigliere JF-Expert Member

  #1
  Apr 9, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,076
  Likes Received: 7,566
  Trophy Points: 280
  Hatuitaji kuiga mfano wa nchi, bali tunaitaji kufuata wito wa kiroho ambao msukumo wake umejengwa na mahitaji halisi ya kinyakati na kimazingira tuliyonayo, ni suala la utashi unaojali heshima na utu wa mtu pia mazingira anayoish.
  Pamoja na nasaha zote t kutoka kila kona wakaayo wenye hekima kutaka tudumishe amani upendo na uvumilivu katika kipindi hiki, tutumie fursa hii kuwataka wala wanaotaka kutumia nasaha hizo kama ngao ya kufanya watakayo waache.
  Haiwezekani watu milioni 43, tuwakilishwe na mikoa mitatu katika kuchangia 'muswada',huu ni upuuz ufanywao na wachache ambao tukiwaita wajinga tutakuwa tunawatukana wajinga halisi. Wanahararisha kila kitu kwa kijikundi cha watu wachache kama walivyomilikisha uchumi wa taifa letu mikononi mwa wachache.
  Hilo hatulikubali,hata maeneo ambayo wameyateua kutuwakilisha hayana hata historia ya kutoa wakaazi,
  Namaliza kwa kusema msingi wa jambo lolote zuri lifanyikalo katika uso wa dunia ni kuzingatia na kustawisha heshimu ya utu miongoni mwetu.
   
 2. Consigliere

  Consigliere JF-Expert Member

  #2
  Apr 9, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,076
  Likes Received: 7,566
  Trophy Points: 280
  Hatuitaji kuiga mfano wa nchi yoyote, bali tunaitaji kufuata wito wa kiroho ambao msukumo wake umejengwa na mahitaji halisi ya kinyakati na kimazingira tuliyonayo, ni suala la utashi unaojali heshima na utu wa mtu pia mazingira anayoish.
  Pamoja na nasaha zote t kutoka kila kona wakaayo wenye hekima kutaka tudumishe amani upendo na uvumilivu katika kipindi hiki, tutumie fursa hii kuwataka wala wanaotaka kutumia nasaha hizo kama ngao ya kufanya watakayo waache.
  Haiwezekani watu milioni 43, tuwakilishwe na mikoa mitatu katika kuchangia 'muswada',huu ni upuuz ufanywao na wachache ambao tukiwaita wajinga tutakuwa tunawatukana wajinga halisi. Wanahararisha kila kitu kwa kijikundi cha watu wachache kama walivyomilikisha uchumi wa taifa letu mikononi mwa wachache.
  Hilo hatulikubali,hata maeneo ambayo wameyateua kutuwakilisha hayana hata historia ya kutoa wakaazi makini,
  Namaliza kwa kusema msingi wa jambo lolote zuri lifanyikalo katika uso wa dunia ni kuzingatia na kustawisha heshimu ya utu miongoni mwetu.
   
Loading...