Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,185
- 18,513
Inasemekana simu ya Roma ukituma SMS , au ukipiga inapatikana, kama ni hivyo kama simu bado IPO eneo alipo Mroma basi wale wenye namba zake waziweke hapa ili watalaam waliopo humu jamii forum watusaidie kujua eneo ilipo hiyo simu ya mroma toka anakamatwa.
Ombi kwa watalaam wanao weza kutupa coordinate za Mroma kwa kutumia namba yake ya simu, watusaidie kutupa data hizo.
Naamini kabisa hilo linawezekana kama
1. Watu wenye namba zake zote wakiweke hapa jamii forum
2. Watalaam wakujua eneo husika kwa kutumia namba ya simu watuletee taarifa hizo.
3. Namba zote zitanazo patikana eneo husika na zilizo ongeza frequency of calls jioni ya siku aliyo kamatwa tofauti na Sikh za nyuma.
Naamini kabisa namba ya simu inaweza tupa coordinate za Mroma alipo.
Kama haiwezekani watalaam mtakanusha.
Pia Soma: Utata: Msanii Roma Mkatoliki na wenzake wakamatwa/tekwa nyara