Tutammiss Donald Trump kwa mambo mazuri yake ikiwamo kupinga ushoga

Mkuu ujinga ni kutokujua kitu, siyo tusi

Nimekupa tu upana wa tatizo la ushoga, kuepusha sijui kumpongeza huyo Trump sijui kafanya nini.....
Sawa Mi mjinga sijui,wewe unajua zaidi.....kwamba Trump alikuwa anakosea kutokuwapa nafasi mashoga ni vibaya kwasababu wapo? Kuwepo mashoga Tz ni sababu yakutoona Trump alifanya vizuri kwenye jambo hilo? Biden kuteua Shoga kama ivyo kwako ni sawa tu?
 
Yani wazungu hawaoni kichefuchefu jamani?!

Haya mambo ni miongoni mwa yenye kumchukiza Mwenyezi Mungu sana!

Hili jambo lipo kiroho zaidi.

Wameacha kumcha Mungu Sasa angalia
 
Ufahamu kiduchu unakutesa tu wewe!

If only your tiny brain could contemplate what's going on around the world..... IF ONLY!

Trump anapingaje ushoga wakati ushoga marekani ni constitutional right? - bunge lilishatunga na sheria za kulinda haki hiyo ikiwemo DOMA, Prevention of hate crimes Act na nyingine nyingi!

Maana huko Tanganyika mmezoea kuendeshwa kwa kutumia kichwa cha mfalme!

Nchi za dunia ya kwanza zinaendeshwa kwa Katiba na taasisi! Sio fikra za mfalme!
 
Sawa Mi mjinga sijui, wewe unajua zaidi, kwamba Trump alikuwa anakosea kutokuwapa nafasi mashoga ni vibaya kwasababu wapo? Kuwepo mashoga Tz ni sababu yakutoona Trump alifanya vizuri kwenye jambo hilo? Biden kuteua Shoga kama ivyo kwako ni sawa tu?
Ni lini Trump alishwahi kuwapinga mashoga?
 
Pita kwa Mpalange oh mashoga kibao!
Katiza saa moja moja upewe tu zi na wao
Nalog off
 
Khaaa we mwehu kweli...wanaojiharishia sio kina Mbowe na Mnyika,. Wanataka kutoana meno na bawacha..huku fungu la ruzuku wanalikubali ambalo linatokana na wakina mama wale
Member mzoefu kama wewe kutojua taratibu za ruzuku za vyama Uzuzu. Nccr wamepewa ruzuku kwa mbunge gani wa viti maalum?
 
Chadema ndio chama kikuu cha upinzani kama hutaki kunywa kisusio ufe!
Chadema sasa hakiwezi kuwa chama kikuu cha upinzani, kimebugi step, Lissu ameiparaganya sana Chadema kila alichofanya hakufanikiwa, hana msimamo, mara alisema haji Tz kwa sababu hana ulinzi lakini kwa urais alihiyari kufa lakini aje agombee, gafla kakimbilia ubalozi eti anataka kuuliwa lakini ule mpango ulifeli na haukuwa na impact kwa mataifa, sasa anawaongoza wanachadema kupitia Youtube za mitandaoni.

Alitakiwa angalau apate ushauri kutoka kwa maalim seif nini afanye mara baada ya ule uchaguzi, maalim seif ni mzoefu hakuwahi kuwakimbia Wazanzibar kwa kisingizio chochote kile siku zote amekuwa nao kupata kukosa, shida madhila mbali mbali, na yeye kutishiwa kuawawa lakini hakuhama visiwa vya karafuu., Bobi Wine pia,

Lema ameenda Canada sasa amewaacha wenzake kina msigwa na mbowe wafungue ukurasa mpya, Chadema mi nadhani ndio inaanza mwanzo, kwanza wana changamoto ya kupata watu strong tena kwenye chama, hichi chama kimeathiriwa sana na ile nunua nunua watu wao wengi wamepoteana.
 
Pamoja na mapungufu yake Trump, ila huu upuuzi na laana haukuwa na nafasi kwenye Serikali yake.

Mimi naona mnasumbuka tu hapa.
Kwa taarifa yako trump kaukuta ushoga,na hakufanya lolote. Hakuwahi kupeleka hata mswada bunge la senate kuupinga.

Trump alimchagua richard grenell kuwa director of national intelligence.
Na huyu bwana ni shoga.

Check your facts.
 
Back
Top Bottom