Tutalipishwa kupata ID Cards | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tutalipishwa kupata ID Cards

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Game Theory, Jul 31, 2009.

 1. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #1
  Jul 31, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Hivi hawa strategists wa CCM wana akili kweli? How can they release this info wakati uchaguzi ni keshokutwa tuu?

  its about time wakaja clean on this issue na tukajua break down za costs zote

  Daily News | Tanzanians to pay token fee to acquire national IDs
   
 2. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #2
  Jul 31, 2009
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,120
  Likes Received: 615
  Trophy Points: 280
  Naona kuna ubaguzi unataka kuingia kwenye system!
   
 3. Tatu

  Tatu JF-Expert Member

  #3
  Jul 31, 2009
  Joined: Oct 6, 2006
  Messages: 1,081
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  How can you plan a massive project like this without any figures or consideration on how to implement? That's why this smells like UFISADI.

  After 5, 10, 15, 20 years, how are we going to maintain this project?

  Give me a break you so called leaders.

  Do at least one good thing for this country and its citizen for God sake.
   
 4. Semilong

  Semilong JF-Expert Member

  #4
  Jul 31, 2009
  Joined: Mar 5, 2009
  Messages: 1,711
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  kama hizi ID card zimeshindwa kuzuia terror spain, uk hawazitaki, je TZ za nini....

  kweli mkulima anaenda shambani na ID card...
  je kama polisi wa kuja kukusaidia wakati wa tatizo hawapo je polisi wa id card ni wapi

  naimani kabisa polisi wa bongo wataacha shughuli zote na kila wanapotembea wa kikutana na mtu itakuwa ID yako ipo wapi na kama umesahau hawakuwachii mpaka utoe hela, itakuwa ni mtaji wao
  badala ya vitambulisho kwa nini wasirahishe upatikanaji wa passport na kuwahamasisha wananchi kuappy passport

  200bn inaweza ikatumika kufanya ishu zingine ambazo ni za maana zaidi ya vitambulisho
  mfano itatupatia 200MW ya umeme na kupunguza hasara zinazotokana na upungufu wa umeme na hela kujilipa kutokana na makampuni kupunguza gharama za uzalishaji

  je wewe utataka 200bn itumike kwa nini badala ya ID cards?
   
 5. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #5
  Aug 12, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Masha mbona kimya siku mbili hizi?
   
Loading...