Tutakukumbuka Moringe

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,947
95,237
wanajamvi jana nimeshindwa kabisa kuelewa alicho ongea waziri mkuu mh Pinda pale bungeni juu ya sakata la operation tokomeza, mpaka anasema anasubiri rais aje atoe maamuzi juu ya mawaziri waliotuhumiwa? ingekuwa enzi za marehemu Edward Moringe Sokoine picha lile silinge ishia mjengoni?
 
Back
Top Bottom