Tutakapo Lazimishwa Kuingia Vitani Kipindi Hiki cha Siasa za Vyama Vingi:

Dopodopo Kadopo

Senior Member
Jul 23, 2012
120
19
Uzoefu tulio nao wa vita ya kagera ni kuwa wakati tunapigana vita ile tulikuwa katika mfumo wa chama kimoja cha siasa. Sasa kunauwezekano kabisa majirani zetu malawi wakatulazimisha kuingia vitani. dalili tumeziona kwani duniani kote historia ya vita huza na maneno (vita ya maneno) hasa kauli za viongozi wanasiasa. Kilicho tusaidia wakati wa vita ya iddi amini ni umoja wetu kama taifa ulioimarishwa na siasa za chama kimoja.

Hebu tujaribu kuangalia umoja na mashirikiano yetu kama taifa bado viko katika enzi hizi za vyama vingi. Kama vimepungua tunafanya nini wakati tunajiandaa kukabiliana na mama banda wa malawi?
 
Kwa sasa hali inatia mashaka, uzalendo umekufa kwa sababu ya ufisadi, upendeleo, ubaguzi, watapigana viongozi na watoto wao, ndio wanaofaidi nchi hii. Wanyonge hatuna cha kupoteza hata ziwa nyasa likibebwa. Tupigane kwa faida ya nani? Ya J.K na genge lake la wezi CCM? Hapo kwa kweli hapana. Tumechoka sana na wakoloni weusi CCM. Bora nchi isambaratike tuanze upya.
 
Back
Top Bottom