Tutaje vijiwe vya wauza unga Dar es Salaam

Hivi bado MNAAMINI polisi hawavijui hivi vituo? Anyway ngoja nikutajie vichache uhakika pale darajani ubungo ambapo Kuna bajaji za kwenda mwenge chini Kuelekea Msewe. Wanauza sigara na pipi Lakini kwao pia unapata Kete. Mateja wapo wamejaza machupa ya maji tupu wanauza. Kimanga tabata pale hukosi madawa
 
Kutaja haimanishi mnatumia.

Link kama hizi kimsingi zilipaswa kusimamiwa na Polisi ili sehem zote zinazotajwa Polisi kiinterijensia wajiridhishe na wahusika watiwe kwapani kwa kibano zaidi
 
Back
Top Bottom