Tutafuteni pesa jamani, hakuna mrembo tutakaemkosa

Fene

JF-Expert Member
May 4, 2021
2,444
3,418
FB_IMG_16425889118602823.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unadhani kwa umri huo anahofu kuhusu kusaidiwa? Vijana ndo wanatawaliwa na hofu ya kugongewa. Uzeeni unachotaka ni kulambwa lambwa, unyonywee upige kimoja ukapime presha.


Wengine huwa wanajisikia vibaya wakigongewa!

Wanawapigia simu watoto wao “ jamani Huyu mama yenu Mdogo huku tabia zake chafu hajatulia”

Watoto kuepuka kuingilia uhusiano huo wanamwambia baba yao mkanye tu huenda akakuelewa!

Ni mtihani mkubwa , halafu wanawake wengine wanawaingiza wanaume humo humo ndani hadi mzee anawakuta wakinyanduana!

Sijui wanawake wengine wakoje?! Kwanini wasiende wakafanyie mbali?!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom