Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,921
- 4,235
Basi mama wa moja ana kazi kweli kweli.mimi mbona mambo hayo nisingeweza kabisaaaa.nafikiri kwa wivu mimi naongoza,yani mtu anisaidie? thubutu yake na ndio maana na mimi huwa sitaki kuwasaidia wenzangu.