Tutafutane Dar...!

Heineken Mutungi mazee ndo yenyewe, kwani Kuna mitungi ya Tusker? Fidel pale GYMKANA una vizia watoto wa Kihindi!!
 
TUKO PAMOJA SHEM!
kula ndovu mpya au taska!ukilewa nauli ya bajaji inakuwepo.ndo raha ya bongo:D

Mpwa ishia hapohapo. Wale jamaa zetu wakiisoma hii tutakosa usingizi. Yu knoo woram seeeing?
 
Hivi huyu Anna Mollel ni mmasai? Atapewa nafasi na rais tu katika post zake
 
hahahaha!umesomeka!tuko pamoja.taifa tunaenda?:D
unisaidie kumzomea mpwa fidel

Hahahaha! Fidel lazima leo apate habari yake. Mi sitaenda bwashee, mdogo wangu ana gradyueti leo pale OUT. Na mimi ndio mwenyekiti, mfadhili, mhasibu, mwekahazina, katibu na MC wa shughuli yenyewe. Hehehehe! ila ntakusaidia kumzomea kesho mbele ya mabinamu na wapwa kwenye ile hafla yetu.
 
Na nyie jamani kwani kutafutana kuna matatizo ???

Kutafutana siyo tatizo...Shida iko kwenye kitu watakachodiscuss wakiwa wawili au whatever...Kitu ambacho kilishindikana kusemwa live pale kwenye eneo la tukio...you get ze point?
 
Jamani watu kwa kukuza mambo.Prezidaa ni mtu wa watu na anawainua wanawake.Si unajua tukiwezeshwa tunaweza!
by the way na yule binti wa ITV Fatma Almasi Nyangasa naye aendelee kujiweka sawa ana kila dalili ya kuukwaa u-DC
 
Jamani watu kwa kukuza mambo.Prezidaa ni mtu wa watu na anawainua wanawake.Si unajua tukiwezeshwa tunaweza!
by the way na yule binti wa ITV Fatma Almasi Nyangasa naye aendelee kujiweka sawa ana kila dalili ya kuukwaa u-DC

Siku ZD wangu utakapopewa uDC natangaza talaka. Eti anawainua wanawake? Hahahaha!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom