Tutafutane Dar...!

Hahaaaa, sasa unaendelezaje profession au career?? hivi u-DC ni technical sana eh??

Bongo hakunaga mambo ya professional kwenye siasa na kiutendaji unaweza ukaishia form 4 kama unacheka vizuri na munene basi anakupumnzisha kwenye uDC angalia safu hiyo ya mawaziri niambie waziri gani yupo right position? Njoo kwa maDC kisha maRC yaani wataalamu wa kuzalisha wamekuwa dumped kwenye siasa tutaendelea kweli?
 
kwa vyovyote anna mollel anatafuta ''u-beti mkwasa''!:D

Naanza kupata picha kwamba ili uwe DC , fani ya mambo ya "nyuzi" ni muhimu sana. Ripoti jambo ambalo ni abnormal kidogo tu, umeukwaa!

Namuombe huyu dada apige bao...anastahili mwaya!
 
Naanza kupata picha kwamba ili uwe DC , fani ya mambo ya "nyuzi" ni muhimu sana. Ripoti jambo ambalo ni abnormal kidogo tu, umeukwaa!

Namuombe huyu dada apige bao...anastahili mwaya!
pia lazima uwe SHE!maanake mkulu ni mlevi wa hawa watu:D
 
Karibu Zeenj uapte Urojo baba! Haina shaka mazeee weka Mitungi ya Heineken

Mida ya jioni nenda pale kwa Rajju au Wajera jera mm iwa napendelea sana pale Gymkana kwa supu ya kuku pale ndo penyewe
 
Back
Top Bottom