Tutafutane Dar...! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tutafutane Dar...!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by PakaJimmy, Oct 31, 2009.

 1. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #1
  Oct 31, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Rais akiwa Makete juzi, baada ya kutoa zawadi ya Bajaj kwa yule mama mlemavu, alifurahi kujua kwamba yule mwandishi wa habari waTBC1 anayeendesha kipindi cha Shajara, Anna Mollel ndiye aliyeibua habari ya yule Mlemavu, na akamwambia live kwa sauti.." si unaishi Dar,...tutafutane Dar-Es-Salaam basi"

  Hivi ni lipi linaweza kujiri pindi wakikutana?..Msaada wa Shule...Hela?...Kula meza moja naye?..au mjuao protocal, kuna faida gani huyu mdada anaweza kutengeneza kwa kutafutana na Rais?
   
 2. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #2
  Oct 31, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,085
  Likes Received: 24,099
  Trophy Points: 280
  Hahahaha! Mpwa bana. Huyo binti si unamjua? Na prezidaa wetu si unamjua pia? He said it!
   
 3. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #3
  Oct 31, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Mhhhh Mkulu kajipigia pande teh teh teh
   
 4. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #4
  Oct 31, 2009
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 722
  Trophy Points: 280
  hivi huyu dada kwani yuko ITV? mi nilijua ni TBC1 na anarusha kipindi kinaitwa shajara na ndo kilimuibua mlemavu huyu. anyway wakikutana dar na mzee basi itakuwa ni kheri sana kwa huyu dada.shida zake kibao zitaisha!!
   
 5. M

  Malila JF-Expert Member

  #5
  Oct 31, 2009
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,412
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  Kesho mkisikia ktk orodha ya MaDC wapya na yeye yumo msishangae.
   
 6. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #6
  Oct 31, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Sorry, si unajua tena...Ahsante kwa marekebisho!...will comply!
   
 7. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #7
  Oct 31, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Mkuu umepiga ikulu mazee!!! Nina hamu sana ya kujua hawa maDC wanapatikanaje??? Kwangu mimi naona tungeisha kwa DED na kumpa mbunge majukumu zaidi halafu tuuwe hii post ya DC
   
 8. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #8
  Oct 31, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Sema pole pole usisikike! LOL
   
 9. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #9
  Oct 31, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,085
  Likes Received: 24,099
  Trophy Points: 280
  Si unajua zake yule? hahaha! Kamfungulia my wife wake taasisi ya WAMA. Mama yuko bize mikoani mzee anatimiza hobby yake kilainiiii. Prezidaa bana!
   
 10. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #10
  Oct 31, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Poa mazee, lakini sasa hawa jamaa majority yao hamna kitu zaidi vikao, dokezo, kupokea wakubwa na kutumia rasilimali zetu chache... hebu fikiria kwa structure kubwa na expensive ya governance yetu tutatokaje kwenye umaskini na kudumisha ufanisi wakati tunaongeza layers za ukiritimba?? Ningekuwa mimi ningefuta hawa jamaa lahafu niongeze ufanisi wa DED na wabunge

  Najua hawapendi kusikia haya
   
 11. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #11
  Oct 31, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Chris, taratibu mazee, usiingie sana kwenye mambo binafsi... hatari hiyo na si salama!!
   
 12. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #12
  Oct 31, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,085
  Likes Received: 24,099
  Trophy Points: 280
  Lol! Sure pal! Will comply with protocol.
   
 13. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #13
  Oct 31, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Hahahaha mkuu hizi nafasi zinachaguliwa kwa kudondosha kidole tu kwenye alphabet ipo siku ikashangaa MTM ukawa DC wa Ilemela hivi hivi
   
 14. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #14
  Oct 31, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Hahaaaaa, unapewa u-DC leo, kesho wanatengua, keshokutwa unahamishwa, ilimradi kasheshe tu, unadhani kwa staili hiyo unaweza kuwa na mipango endelevu?
   
 15. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #15
  Oct 31, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,085
  Likes Received: 24,099
  Trophy Points: 280
  Kwani DC ana kazi gani? Naona wanahabari kibao (wa kike) wanazikwaa hizi chansi. Sorry again, sijafuata protocol.
   
 16. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #16
  Oct 31, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Unae pewa uDC unakuwa na mipango endelevu haswa kwa maana unakula pesa za kukusafirisha kituo cha kazi maposho n.k masemina hayo we acha tu ila kwa sisi wananchi tunaendelea kuumia tu wao ndo wanao faidi sasa orodha ya kupata majina na kuteua maDC inapenyezwaje pale Ikulu kwa rais ndo hapo ishu maana sidhani kama rais anawajua maDC wote nchini kiutendaji na mambo mengine yeye analetewa list tu akiona jina zuri ndo umelamba dume.
   
 17. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #17
  Oct 31, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160

  Hahaaaa, sasa unaendelezaje profession au career?? hivi u-DC ni technical sana eh??
   
 18. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #18
  Oct 31, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,085
  Likes Received: 24,099
  Trophy Points: 280
  Anna Mollel naona kama jina zuri vile! Hahaha! Kama Betty Mkwassa, Halima Kihemba..................
   
 19. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #19
  Oct 31, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180

  Sio Technical kabisa mzee...Ni kujulikana tu na watu wanaoizunguka keki ya nchi! Kwa hakika kama huna jamaako huko utasikia redioni mambo haya!...Kuna ma-DC kibao ambao ni kama mabubu, hawawezi kusemea jambo lolote...Watu wa Media mkimfuata anatamani kukimbia ofisi!
   
 20. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #20
  Oct 31, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,085
  Likes Received: 24,099
  Trophy Points: 280
  I can be a DC right at the Moment! Mi hata mkuu wa Wilaya yangu hata sijui jina lake.
   
Loading...