M-mbabe
JF-Expert Member
- Oct 29, 2009
- 13,203
- 23,020
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Isaack Kamwele ameelezea hofu aliyo nayo dhidi ya uwezekano wa kuvuliwa uwaziri wakati wowote ule, lakini ameongeza kusema kuwa yawezekana hiyo ndiyo hofu ya mawaziri wengi.
"Maana ukisikia Waziri Mkuu akitumwa kwako na Rais, maana yake kuna kitu umeshindwa kufanya. Tusiruhusu hilo likafika, vingenevyo nitang'oka" alisema Kamwele.
Tafakuri yangu mimi apa M-Mbabe......
Kiongozi mkuu awape space wasaidizi wake ili watekeleze majukumu yao kwa kujiamini.
Anajipa pressure ya bure ku micro-manage vitu ambavyo viko chini kabisa ya ngazi yake.
Ndiyo maana akikwama inafikia hata hatua ya kutumia taasisi nyeti kama JWTZ kwenye masuala ambayo ni misuse of resources.
Besides, JWTZ hawapaswi kuhusishwa kabisa kwenye haya masuala (kwa mfano kama haya ya korosho) yenye msukumo wa kisiasa. Tunatengeneza very dangerous precedence huko mbeleni, hususani kwenye hii pluralism era kwani those soldiers nao ni binadamu na wana utashi wao kiitikadi na kiimani.
Ni ushauri tu, kwa nia njema kabisa. Unaweza kupokelewa au kukataliwa lakini Tanzania ni yetu sote ujue!