Tutafakari

UWOGA=UMASKINI

JF-Expert Member
Dec 30, 2013
2,397
1,011
TUELEWE
Yanayofanya na RAIS WETU yawe na manufaa kwa Tabaka LA chini na si kushangilia tu yule kafukuzwa safi sana yule kasimamishwa safi sana.je sisis tumenufaika nanini coz tusifurahishwe na fukuza fukuza wakati MAISHA YETU YAKO HOI YAABANI
 
Watanzania wengi wanapenda kusikia aliekuwa juu kaporomoka.
Badala ya kuweka na kuboresha sheria za kusimamia mali za umma ili zimnufaishe mwananchi moja kwa moja.
Mf.mtumishi wa serikali akidokoa ataifishwe kisha anyongwe.
Wamebaki wanashangilia tu huku shuleni wakipeleka laki na nusu.
Eti elimu bure!!!!! ni bure au mateso?
 
Kidumu chama cha Mapunduzi
 
Back
Top Bottom