Tutafakari Ramani ya Afrika

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,140
13,215

Attachments

  • 6a00d8341c730253ef0147e09c0e3d970b.jpg
    6a00d8341c730253ef0147e09c0e3d970b.jpg
    58.3 KB · Views: 1,248
kuna mtu aliwahi kusema Ramani ya Afrika kidogo imekaa kama bastola, ukishika kwa chini kifyatulio (Trigger) kinakua DRC (M23), na kwa juu kinakua SOMALIA
 
Bara kama Bara halina tatizo....Tatizo ni letu sisi wenyewe.... tunakilakitu bado tunazurura kuombaomba, na hao ni viongozi wasomi
 
Bara kama Bara halina tatizo....Tatizo ni letu sisi wenyewe.... tunakilakitu bado tunazurura kuombaomba, na hao ni viongozi wasomi

Nakuunga mkono aisee, sisi ndio tatizo, we angalia hiyo “illiterace” ilivyoandikwa...!!! majanga, kwann usiandike kiswahili?
 
Wanaopeleke bara letu lionekane kama kicha cha wahuni ni viongozi wetu ambao kutwa kucha kiguu na kindege kwenda kupiga magoti kuomba misaada kwa masharti mazito na kututangazia kuwa ni masharti nafuu, pia na hawa wenye uchu wa madaraka nao ni tatizo nchi zao za pigana kila siku hivyo kupelekea kupata misaada kwa mlango wanyuma na kwa masharti yaleyale kuwa atapo kuwa madarakani nchi iliyompa msaada itanufaika kwa moja,mbili nk.
 
Back
Top Bottom