Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,140
- 13,215
Daaaaaaaaamn.....mambo gan ya kutamanishana waziwaz.... ila kweli Africa tunapiga sana game nadhan kuliko mabara mengine
Bara kama Bara halina tatizo....Tatizo ni letu sisi wenyewe.... tunakilakitu bado tunazurura kuombaomba, na hao ni viongozi wasomi
Hahahaaa...huo uchokozi sasaNakuunga mkono aisee, sisi ndio tatizo, we angalia hiyo "illiterace" ilivyoandikwa...!!! majanga, kwann usiandike kiswahili?
kwa hiyo hii ramani yetu ndio inatusababishia matatizo tuliyonayo sisi wa Afrika...Lol!