Tutafakari kabla ya kuandika tangazo

MR. ABLE

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
1,480
944
KInyozi mmoja alikuwa na salun katika ghorofa ya juu,

aliamua kuhamia chini akaweka tangazo hili

"KINYOZI ALIYEKUWA ANANYOA JUU SASA ANANYOA CHINI".

Wateja wote wakamkimbia.
 
Back
Top Bottom