M MR. ABLE JF-Expert Member Apr 6, 2012 1,480 944 Dec 11, 2012 #1 KInyozi mmoja alikuwa na salun katika ghorofa ya juu, aliamua kuhamia chini akaweka tangazo hili "KINYOZI ALIYEKUWA ANANYOA JUU SASA ANANYOA CHINI". Wateja wote wakamkimbia.
KInyozi mmoja alikuwa na salun katika ghorofa ya juu, aliamua kuhamia chini akaweka tangazo hili "KINYOZI ALIYEKUWA ANANYOA JUU SASA ANANYOA CHINI". Wateja wote wakamkimbia.
Twilumba JF-Expert Member Dec 5, 2010 11,528 12,365 Feb 7, 2013 #3 wateja walijua kifuatacho ni kunyolewa kiduku kunako maeneo!