TUTAFAKARI HILI JAMANI kwa kina sana...

Tugutuke

JF-Expert Member
Apr 21, 2011
501
165
Pole Na Majukumu Ya Kila Siku Mtanzania Mwenzangu, Vipi Umeshapata MAISHA BORA Kama Walivyokuahidi CCM 2005 Na 2010? Anayekuuliza Si Mwanasiasa, No! Ni Mwanaharakati.. Hebu Jiulize Hawa Wanaotoa Ahadi Wanakuonaje Wewe?
1, Ni -----
2, Ni Mjinga
3, Mpumbavu
4, Mwehu
5,Mwendawazimu
6, Una Ubongo Wa kuku? (Msahaulifu). Au ni vipi?
Mbona Wenyewe Wana Maisha Bora! Kwani Wewe Au Wenzetu Sio Watanzania? Kazi Kwako Mwaka 2015 Nikutakie Tafakari Njema! Share kwa Watanzania wote wapenda mabadiliko.
 
Kama wewe ulikubaliana na zile ahadi lukuki una matatizo. I knew right from the word go ule ulikuwa ni uongo wa kupatia kura. Waliodanganyika wakatoa kura zao. Too bad.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Hakuna kiongoz yeyote mwanasiasa anayeweza kuniahidi mimi,wazazi wala watoto wangu maisha bora,tuna akili ya kutosha na nguvu pia pengine kuliko wao hakuna mkulima kwetu hakuna mwajiriwa hivyo kura zetu tunaamua cc.maisha bora yapo popote si tanzania
 
Back
Top Bottom