Tutaendelea Vipi Wakati Dhamana ya Uongozi Tumewapa Wenye Akili Hizi?

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
39,761
71,145
Someni wenyewe na kuangalia kiongozi wa Karne hii anaweza kuwa na mawazo na kauli kama hizi?
Wapo wengine ni kizazi cha Analog lakini huwezi kuwaona wanatoa mawazo ya hovyo namna hiyo!
Mie nasema hatuwezi kuendelea.
Screenshot_20190705-094829.jpeg
 
Jaman nasikia ndugai na Bunge lake wamekwapua ela zilizochangwa kwa ajili ya stars??
 
Ha ha haaaaa sasa hao waliobet wakikamatwa watashtakiwa au watafanywa nini na je kama wakishtakiwa ni kwa sheria ipi...
uhujumu uchumi, usaliti au uhaini???!!!

Shithole kantre
 
Ha ha haaaaa sasa hao waliobet wakikamatwa watashtakiwa au watafanywa nini na je kama wakishtakiwa ni kwa sheria ipi...
uhujumu uchumi, usaliti au uhaini???!!!

Shithole kantre
Kukosa uzalendo
 
Sidhani kama makonda anaweza kuongea hivyo labda kama alimaanisha kuna watu walicheza deal na taifa stars wapigwe ili wapige hela kwenye kubet
 
Mlisha ishiwa hoja mmebaki mkiokoteza ili mpate Kujilewaza vibendera kwa vibendera
Kazi mnayo
 
Back
Top Bottom