Tutabiri kwa pamoja baada ya Chelsea ya Uingereza kupokea Kipigo cha Shalubela jana ni Timu gani na ya nchi gani Kesho yanaikuta tena?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,385
108,441
Naomba tutabiri kwa pamoja kama Wanamichezo baada ya jana tu Timu ya Chelsea ya nchini Uingereza kupokea Kipigo / Kichapo cha Kishalubela ( Kikatili ) kutoka kwa Manchester City kwa Kufungwa Goli 6, je unadhani katika ' rada ' zako za Ulimwenguni ni Timu gani nyingine katika nchi unayoijua Kesho Jumanne nayo inaweza kupata Kipigo cha Kishalubela / Kikatili kutoka Klabu moja Kongwe na Tajiri kutoka Bara Jeusi?

Shikamoo Mwarabu!

Nawasilisha
 
MIKIA FC!!
IMG-20190211-WA0015.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ha ha ha ha ha ha ha.....Shikamoo Mkuu! Kesho ' tutatafutana ' ubaya kwa Mchina. Mpaka dakika hii natiririka na naserereka hivi zilikuwa 11 ila Babu amejitahidi na zimebaki 7 na hazitaki kabisa Kupunguzika. Na balaa zaidi unaambiwa katika ule Mchezo wa mwanzo Wachezaji wao Kenda / Tisa ( 9 ) wa Kikosi cha Kwanza hawakuwepo walikuwa wametangulizwa Mjini Cairo ambako kuna hali ya hewa na Joto kama la Dar es Salaam ili wazoee lakini bado tulipigwa ' Mkono ' na waliobaki huku wakituhurumia kutufunga hata Goli Kumi ( 10 )

Wenye matatizo ya Moyo / Presha sishauri Kesho waende kwa Mchina au kama wakikomaa na kulazimisha kwenda basi wahakikishe wameshatoa Maelekezo yote ya ' Mirathi ' kwa Watoto zao na Wake zao kwani nina uhakika kwa Shughuli pevu ya ' Mwarabu ' Kesho ' Mortuary ' za Temeke Hospital, Amana na Mwananyamala zitafurika ' Wateja ' wakuu wa Israeli Mtoa Roho.

Shikamoo sana Mwarabu.
 
Umebugi

Take MA words Kama SIO DRW SIMBA ANASHINDA KESHO.. HIZO 5 AZIPOO
 
Siamini kama ni wewe unapost haya Mkuu Gentamycine. Umefikwa na nini leo? Wakati wewe ni Simba lia lia?
 
Kikosi cha Tsh Bilioni 87 kinaweza Kufungwa na Kikosi cha Tsh Bilioni 1? Kama Mchezaji wao mmoja yule aliyetufunga Goli 2 kule Alexandria ana thamani ya Tsh Bilioni 1. 8 bado tu unataka ushahidi gani kuwa leo tunaenda Kupokea Kapu letu lingine za Valentine pale kwa Mchina? Kama Sisi Simba SC tulianzisha Kikosi chetu kule Kwao tukachezea zile Goli 5 bila wakati wao Wachezaji wao 9 wa Kikosi cha Kwanza hawakucheza na leo wapo hadi hapo huoni kuwa leo kuna Mauwaji mengine ya Kishalubela / Kikatili pale kwa Mchina?
 
Haya bwana, yetu macho!!!
 
Sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukuje huku mtoa post

Angalieni mlivyo Wanafiki na ‘ Mapimbi ‘ halisia. Huu ‘ Uzi ‘ nimeuanzisha jana na wengi wenu mlikuwa Kimya ila leo Simba SC ‘ tumebahatisha ‘ na Ushindi wa Goli za ‘ Kafara ‘ na ‘ Zindiko ‘ ndiyo mnajifanya kuja na Kunishambulia. Mlikuwa wapi jana?

Nawapongeza sana Wachezaji wa Simba SC kwa Ushindi huu na kuonyesha ‘ Uthubutu ‘ wao na kidogo wametufanya sasa tutembee Vifua wazi ( Kidali Poo ) mbele ya wana Yanga SC ambao wametutesa mno kwa aina ya ‘ Utani ‘ wao Kwetu Simba SC ambao unauma kwa ‘ Kubugizwa ‘ Goli 10 ndani ya Mechi mbili na zilizochezwa nchi mbili tofauti pia.

Kuna aina nyingi za Kumjenga Mtu ambaye una uhakika nae kuwa ana ‘ Potential ‘ kubwa ila Yeye hajui ili aweze kuyafikia Malengo yake. Kuiponda Kwangu Klabu yangu ya Simba ukiwa ni Mtu wa ‘ Saikolojia ‘ utanielewa kwani niliamua ‘ Kuwaponda ‘ ile jana ili niwajenge na leo wakaze ‘ Matako ‘ yako Kiume wakiwa wanacheza na Al Ahly ili tushinde Mechi na Watanzania pia nao wafurahi ukiachana na wale ‘ Mapopoma ‘ wachache ambao Uwanja wao sasa una matumizi makuu mawili moja Kulishia Ng’ombe Nyasi na pia Kufugia Vyura ( ila siyo wa Kihansi )

Hata hivyo pamoja na Ushindi wetu wa leo bado tusijidanganye kuwa Simba SC tuna Timu ya Kushindana na Kufikia Malengo katika Michuano hii ya Klabu Bingwa Afrika ila bado nasisitiza ya kwamba tuitumie hii michuano kuwapa uzoefu zaidi Wachezaji wetu lakini pia kuwatafutia Soko nje ya Tanzania ili Klabu ijipatie Pesa na iweze kufanya Usajili ‘ Kabambe ‘ Msimu ujao.

Simba SC ni Timu nzuri kwa Ligi ya Tanzania ( TPL ) pekee ila huko Kimataifa tunacheza tu kama ‘ Kubahatisha ‘ ila kama tukiutetea huu Ubingwa wetu basi itambidi ‘ Mwekezaji ‘ wetu Mohammed Dewji avunje Benki / Kibubu ili atusajilie Wachezaji wa uhakika ili tuweze kuweka rekodi ya Sisi pia kuwa Mabingwa.

Na kuna Kitu ambacho ‘ Kiufundi ‘ lazima mkijue ambacho ni kwamba tambueni Wenzetu Al Ahly ‘ mchezo ‘ wao walishaumaliza kule Kwao Mjini Alexandria kwa kutufunga Goli Tano hivyo kwa mlioangalia mechi leo mtagundua ya kwamba hawakuja na ‘ Game Plan ‘ ya Kushinda bali ni ya Kuwachanganya tu Simba SC na hasa hasa kutafuta Sare ( Draw ) japo hata hivyo baadae hilo lengo lao halikutimia baada na Mshambuliaji wa Simba SC Mohammed ‘ Medie ‘ Kagere kuliondoa kabisa Akilini / Ubongoni mwao.

Kinachoisaidia Simba SC hasa Kushinda mechi zake za Nyumbani ni ‘ Hamasa ‘ kubwa iliyojengwa na Uongozi wa Simba SC na hasa hasa Msemaji wao Haji Manara. Kujaa kwa Uwanja hadi ‘ pomoni ‘ kumesaidia Kuwajenga vyema Kisaikolojia Wachezaji wa Simba SC hivyo kama Wana Simba SC pamoja na Uongozi mzima tunataka Kuzipata alama ( points ) za AS Vita Club wakija Tanzania basi hakuna kutoka nayo Sare au Kufungwa nayo.

Tuweke mkazo sana katika mechi dhidi ya JS Saoura ili tushinde huko Kwao Algeria japo ni ngumu ‘ Kimazingira ‘ ila tukijipanga linawezekana lakini tusidanganyane kwa aina ya mpira na uwezo wa Timu ya AS Vita Club hatuna uwezo wa Kuwafunga ila ushindi wetu dhidi yao labda ni Sare ( draw ) tu. Kiufundi AS Vita Club wako vizuri sana kama siyo mno kuliko hata Al Ahly. Ni ukweli mchungu ila tuuvumilie na tuukubali tu.

Yangu ni hayo.
 
Hawawezi kufungwa kivipi wakati jana wamefungwa na Js Soura iliyofungwa na Simba taifa
 
Mkuu mpira wa kiafrica kila timu nzuri ikiwa kwao maana Kama timu inapigwa 8-0 ugenini halafu inatoa 0-0 nyumbani au timu inafungwa 5-0 ugenini halafu inakuja kushinda 1-0 nyumbani unaona kabisa haiingii akilini sema kwa Africa kwakua mpira wetu wa mbinu mbinu inawezekana Yani haiwezekan forward iliofunga goli 8 ikashindwa kufunga hata goli 1 au beki ilioruhusu goli 8 ikashindwa kuruhusu hata goli 3 Ila kwa Africa pekee ndio inawezekana! Hii yote kwakua mpira wetu wa ujanja ujanja sio wakujua sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angalieni mlivyo Wanafiki na ‘ Mapimbi ‘ halisia. Huu ‘ Uzi ‘ nimeuanzisha jana na wengi wenu mlikuwa Kimya ila leo Simba SC ‘ tumebahatisha ‘ na Ushindi wa Goli za ‘ Kafara ‘ na ‘ Zindiko ‘ ndiyo mnajifanya kuja na Kunishambulia. Mlikuwa wapi jana?

Nawapongeza sana Wachezaji wa Simba SC kwa Ushindi huu na kuonyesha ‘ Uthubutu ‘ wao na kidogo wametufanya sasa tutembee Vifua wazi ( Kidali Poo ) mbele ya wana Yanga SC ambao wametutesa mno kwa aina ya ‘ Utani ‘ wao Kwetu Simba SC ambao unauma kwa ‘ Kubugizwa ‘ Goli 10 ndani ya Mechi mbili na zilizochezwa nchi mbili tofauti pia.

Kuna aina nyingi za Kumjenga Mtu ambaye una uhakika nae kuwa ana ‘ Potential ‘ kubwa ila Yeye hajui ili aweze kuyafikia Malengo yake. Kuiponda Kwangu Klabu yangu ya Simba ukiwa ni Mtu wa ‘ Saikolojia ‘ utanielewa kwani niliamua ‘ Kuwaponda ‘ ile jana ili niwajenge na leo wakaze ‘ Matako ‘ yako Kiume wakiwa wanacheza na Al Ahly ili tushinde Mechi na Watanzania pia nao wafurahi ukiachana na wale ‘ Mapopoma ‘ wachache ambao Uwanja wao sasa una matumizi makuu mawili moja Kulishia Ng’ombe Nyasi na pia Kufugia Vyura ( ila siyo wa Kihansi )

Hata hivyo pamoja na Ushindi wetu wa leo bado tusijidanganye kuwa Simba SC tuna Timu ya Kushindana na Kufikia Malengo katika Michuano hii ya Klabu Bingwa Afrika ila bado nasisitiza ya kwamba tuitumie hii michuano kuwapa uzoefu zaidi Wachezaji wetu lakini pia kuwatafutia Soko nje ya Tanzania ili Klabu ijipatie Pesa na iweze kufanya Usajili ‘ Kabambe ‘ Msimu ujao.

Simba SC ni Timu nzuri kwa Ligi ya Tanzania ( TPL ) pekee ila huko Kimataifa tunacheza tu kama ‘ Kubahatisha ‘ ila kama tukiutetea huu Ubingwa wetu basi itambidi ‘ Mwekezaji ‘ wetu Mohammed Dewji avunje Benki / Kibubu ili atusajilie Wachezaji wa uhakika ili tuweze kuweka rekodi ya Sisi pia kuwa Mabingwa.

Na kuna Kitu ambacho ‘ Kiufundi ‘ lazima mkijue ambacho ni kwamba tambueni Wenzetu Al Ahly ‘ mchezo ‘ wao walishaumaliza kule Kwao Mjini Alexandria kwa kutufunga Goli Tano hivyo kwa mlioangalia mechi leo mtagundua ya kwamba hawakuja na ‘ Game Plan ‘ ya Kushinda bali ni ya Kuwachanganya tu Simba SC na hasa hasa kutafuta Sare ( Draw ) japo hata hivyo baadae hilo lengo lao halikutimia baada na Mshambuliaji wa Simba SC Mohammed ‘ Medie ‘ Kagere kuliondoa kabisa Akilini / Ubongoni mwao.

Kinachoisaidia Simba SC hasa Kushinda mechi zake za Nyumbani ni ‘ Hamasa ‘ kubwa iliyojengwa na Uongozi wa Simba SC na hasa hasa Msemaji wao Haji Manara. Kujaa kwa Uwanja hadi ‘ pomoni ‘ kumesaidia Kuwajenga vyema Kisaikolojia Wachezaji wa Simba SC hivyo kama Wana Simba SC pamoja na Uongozi mzima tunataka Kuzipata alama ( points ) za AS Vita Club wakija Tanzania basi hakuna kutoka nayo Sare au Kufungwa nayo.

Tuweke mkazo sana katika mechi dhidi ya JS Saoura ili tushinde huko Kwao Algeria japo ni ngumu ‘ Kimazingira ‘ ila tukijipanga linawezekana lakini tusidanganyane kwa aina ya mpira na uwezo wa Timu ya AS Vita Club hatuna uwezo wa Kuwafunga ila ushindi wetu dhidi yao labda ni Sare ( draw ) tu. Kiufundi AS Vita Club wako vizuri sana kama siyo mno kuliko hata Al Ahly. Ni ukweli mchungu ila tuuvumilie na tuukubali tu.

Yangu ni hayo.
Maandishi mengi afu pumba tupu.
Lielewe soka la Afrika kwanza ndo uweke uandishi wako.

Ulileta mada kwamba Simba ijiandae kufa goli nyingi uwanja wa taifa, ikakuprove wrong,,, una change gia angani eti Simba haina ubavu wa kumfunga Vita hapa taifa.

Katika miaka yote ya kuijua Simba sijawahi kuona Mwarabu akiifunga Simba uwanja wa taifa hata Simba iwe mbovu vipi. Kwa hilo tu imetosha kukuona ni maamuma wahed wa historia ya Simba kimataifa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angalieni mlivyo Wanafiki na ‘ Mapimbi ‘ halisia. Huu ‘ Uzi ‘ nimeuanzisha jana na wengi wenu mlikuwa Kimya ila leo Simba SC ‘ tumebahatisha ‘ na Ushindi wa Goli za ‘ Kafara ‘ na ‘ Zindiko ‘ ndiyo mnajifanya kuja na Kunishambulia. Mlikuwa wapi jana?

Nawapongeza sana Wachezaji wa Simba SC kwa Ushindi huu na kuonyesha ‘ Uthubutu ‘ wao na kidogo wametufanya sasa tutembee Vifua wazi ( Kidali Poo ) mbele ya wana Yanga SC ambao wametutesa mno kwa aina ya ‘ Utani ‘ wao Kwetu Simba SC ambao unauma kwa ‘ Kubugizwa ‘ Goli 10 ndani ya Mechi mbili na zilizochezwa nchi mbili tofauti pia.

Kuna aina nyingi za Kumjenga Mtu ambaye una uhakika nae kuwa ana ‘ Potential ‘ kubwa ila Yeye hajui ili aweze kuyafikia Malengo yake. Kuiponda Kwangu Klabu yangu ya Simba ukiwa ni Mtu wa ‘ Saikolojia ‘ utanielewa kwani niliamua ‘ Kuwaponda ‘ ile jana ili niwajenge na leo wakaze ‘ Matako ‘ yako Kiume wakiwa wanacheza na Al Ahly ili tushinde Mechi na Watanzania pia nao wafurahi ukiachana na wale ‘ Mapopoma ‘ wachache ambao Uwanja wao sasa una matumizi makuu mawili moja Kulishia Ng’ombe Nyasi na pia Kufugia Vyura ( ila siyo wa Kihansi )

Hata hivyo pamoja na Ushindi wetu wa leo bado tusijidanganye kuwa Simba SC tuna Timu ya Kushindana na Kufikia Malengo katika Michuano hii ya Klabu Bingwa Afrika ila bado nasisitiza ya kwamba tuitumie hii michuano kuwapa uzoefu zaidi Wachezaji wetu lakini pia kuwatafutia Soko nje ya Tanzania ili Klabu ijipatie Pesa na iweze kufanya Usajili ‘ Kabambe ‘ Msimu ujao.

Simba SC ni Timu nzuri kwa Ligi ya Tanzania ( TPL ) pekee ila huko Kimataifa tunacheza tu kama ‘ Kubahatisha ‘ ila kama tukiutetea huu Ubingwa wetu basi itambidi ‘ Mwekezaji ‘ wetu Mohammed Dewji avunje Benki / Kibubu ili atusajilie Wachezaji wa uhakika ili tuweze kuweka rekodi ya Sisi pia kuwa Mabingwa.

Na kuna Kitu ambacho ‘ Kiufundi ‘ lazima mkijue ambacho ni kwamba tambueni Wenzetu Al Ahly ‘ mchezo ‘ wao walishaumaliza kule Kwao Mjini Alexandria kwa kutufunga Goli Tano hivyo kwa mlioangalia mechi leo mtagundua ya kwamba hawakuja na ‘ Game Plan ‘ ya Kushinda bali ni ya Kuwachanganya tu Simba SC na hasa hasa kutafuta Sare ( Draw ) japo hata hivyo baadae hilo lengo lao halikutimia baada na Mshambuliaji wa Simba SC Mohammed ‘ Medie ‘ Kagere kuliondoa kabisa Akilini / Ubongoni mwao.

Kinachoisaidia Simba SC hasa Kushinda mechi zake za Nyumbani ni ‘ Hamasa ‘ kubwa iliyojengwa na Uongozi wa Simba SC na hasa hasa Msemaji wao Haji Manara. Kujaa kwa Uwanja hadi ‘ pomoni ‘ kumesaidia Kuwajenga vyema Kisaikolojia Wachezaji wa Simba SC hivyo kama Wana Simba SC pamoja na Uongozi mzima tunataka Kuzipata alama ( points ) za AS Vita Club wakija Tanzania basi hakuna kutoka nayo Sare au Kufungwa nayo.

Tuweke mkazo sana katika mechi dhidi ya JS Saoura ili tushinde huko Kwao Algeria japo ni ngumu ‘ Kimazingira ‘ ila tukijipanga linawezekana lakini tusidanganyane kwa aina ya mpira na uwezo wa Timu ya AS Vita Club hatuna uwezo wa Kuwafunga ila ushindi wetu dhidi yao labda ni Sare ( draw ) tu. Kiufundi AS Vita Club wako vizuri sana kama siyo mno kuliko hata Al Ahly. Ni ukweli mchungu ila tuuvumilie na tuukubali tu.

Yangu ni hayo.
Kubali ulichemka wanaotakiwa kujengwa kisaikolojia ni wachezaji sio sisi humu ndani
 
Back
Top Bottom