GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,516
- 108,791
Naomba tutabiri kwa pamoja kama Wanamichezo baada ya jana tu Timu ya Chelsea ya nchini Uingereza kupokea Kipigo / Kichapo cha Kishalubela ( Kikatili ) kutoka kwa Manchester City kwa Kufungwa Goli 6, je unadhani katika ' rada ' zako za Ulimwenguni ni Timu gani nyingine katika nchi unayoijua Kesho Jumanne nayo inaweza kupata Kipigo cha Kishalubela / Kikatili kutoka Klabu moja Kongwe na Tajiri kutoka Bara Jeusi?
Shikamoo Mwarabu!
Nawasilisha
Shikamoo Mwarabu!
Nawasilisha