Tutaandamana Kupinga Ongezeko la Bei Ya Umeme | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tutaandamana Kupinga Ongezeko la Bei Ya Umeme

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by spencer, Dec 28, 2011.

 1. spencer

  spencer JF-Expert Member

  #1
  Dec 28, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 2,792
  Likes Received: 1,337
  Trophy Points: 280
  GreaTthinkers,

  Siongei kwa kubahatisha Songas imeanza kuzalisha gesi mi nina akili Timamu,

  tena wabunge walisema bei itakuwa nafuu kama tutachimba gesi Tanzania,

  Watu walipiga mabenchi kuunga mkono hoja mjengoni kumbe ni changa la macho, gesi inachimbwa na bei wiki ijayo itapanda 150%

  Nimegundua kitu, hawataki kutoa matope bwawa la Mtera ili waendelee kula Dili na kampuni zao za kutumia mafuta.

  Hakuna haja ya kungoja, situkeni mmeshafanywa dili na mataji wa wachache.
  Mkikaa kimya wao wanaona mnawaunga mkono, bora mpaze sauti ili japo muwakumbushe-Umeme ukipanda bei hata kiberiti kitauzwa 150Tsh mambo gani sasa.

  Wabunge kama kina Juma Nkamia(CCM Kondoa) wanaosema ongezeko la posho liwe hata mara dufu unadhani watatusemea neno bungeni?

  Hawakilishi wananchi wa Dalai na Chandama Kondoa bali anabeba mafisadi moyoni mwake bora tuamke, tupaze sauti.

  IPTL kwa nini ilipwe 4Bil kila mwezi na TANESCO hata kama haikufanya kazi nani alisaini hiyo mikataba Kisxhxhxx?
  Kwa nini mnatufanya sie watanzania maskini Dilli?
  Simameni tuseme sasa Tosha
   
 2. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #2
  Dec 28, 2011
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  maandamano yamezuiwa wewe
   
 3. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #3
  Dec 28, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  labda WAKENYA WAANDAMANE KWA NIABA YA WATANZANIA, WATZ hawana jeuri wamelala fofofooo
   
 4. spencer

  spencer JF-Expert Member

  #4
  Dec 28, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 2,792
  Likes Received: 1,337
  Trophy Points: 280
  Democratic, Sasa kilio chetu kitasikikaje sasa?
   
 5. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #5
  Dec 28, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  KUNA TISHIO LA AL SHABAB!i
   
 6. spencer

  spencer JF-Expert Member

  #6
  Dec 28, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 2,792
  Likes Received: 1,337
  Trophy Points: 280
  Kwa maoni yenu kama maandamano hapana tutasemea wapi tusikike?
   
 7. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #7
  Dec 28, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  KILIO CHA WATZ KITASIKIKA KUPITIA MAANDAMANO LKN JE WATANZANIA WANAWEZA?? au
   
 8. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #8
  Dec 28, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  yani km Watz wangekua wanaubavu wangeshaandamana kupinga ongezeko la posho kwa wabunge lkn wapi wanaishia kulalamikalalamika hovyo, sijui tumelishwa nini aisee
   
 9. spencer

  spencer JF-Expert Member

  #9
  Dec 28, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 2,792
  Likes Received: 1,337
  Trophy Points: 280
  Nadhani ni afadhari tungekuwa na wakoloni, nakubaliana na Marehemu Kolimba aliyesema CCM imekosa mwelekeo wakamkolimba.
  Kwa sasa Tanzania viongozi wengi akili yao ni kupiga dili tu basi
   
 10. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #10
  Dec 28, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  nasisitiza kifo.
  Tuwauwe angalau mmoja kila baada ya miezi mitatu, hii itasaidia kidogo.
  Ustaarabu umetuponza sana...
   
 11. spencer

  spencer JF-Expert Member

  #11
  Dec 28, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 2,792
  Likes Received: 1,337
  Trophy Points: 280
  Andare, Utaratibu huu hauruhusiwa kwa sheria za Tanzania, ila China ni wazi ukihujumu uchumi wanakuua. Labda hadi ikubalike hivyo kisheria.

  Toa ushauri mwingine kwa sasa.
   
 12. n

  ngokowalwa Senior Member

  #12
  Dec 28, 2011
  Joined: Jul 22, 2011
  Messages: 155
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Al-Shabab wanatishia mikusanyiko , tutaruhusiwa kusimama na kamanda Kova pale wakenya watakapomaliza kazi huko somalia .
   
Loading...