Tutaajiri Makatibu CHADEMA nchi nzima-Dr Slaa

Molemo

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
14,534
13,225
Katibu mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA Dr Wilbroad Slaa amesema chama chake kimeamua kupanga mikakati madhubuti ya kujiimarisha ndani ya chama.

Kiongozi huyo mashuhuri nchini aliyasema hayo alipokuwa akifungua mkutano wa baraza la Ushauri Mkoa wa Kagera lililofanyika Karagwe na kuhudhuriwa na viongozi wa majimbo yote ya mkoa wa Kagera.

Dr Slaa alisema moja ya mikakati ya chama chake ni kuajiri Makatibu wa Chama kote nchini.Pia Kiongozi huyo makini nchini alisema mikakati mingine ni kugawa Pikipiki kila Kata kwa ajili ya shughuli za chama na pia kujenga ofisi za kudumu kote nchini na zenye hadhi.

Kiongozi huyo anayetenda kwa mujibu wa maneno yake amewahakikishia viongozi hao wa chama kwamba atahakikisha mambo yote hayo yatasimamiwa kwa ukamilifu.

Source: Tanzania Daima
 
Kazi imeanza ndio uzuri wa Dr.hana longolongo kama magamba,eti nimeyasikia magamba(Kinana na Nape) eti yanaiagiza serikali.maigizo haya sijui yataisha lini.
 
Kwani lazima watutangazie sisi mikakati yao? Si wafanye kimya kimya? CCM wakiwadaka itakuwaje?

Acha uchakubimbi Slaa kaongelea kwenye mkutano wao Wa ndani na mwandishi kaandika na hajasemea kwenye jukwaa nje sasa kipi kigumu kwako kuelewa hapo?
 
Tanzania hatuendelei kwa sababu pesa zetu zote zinaishia kwenye mambo ya siasa!
 
Katibu mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA Dr Wilbroad Slaa amesema chama chake kimeamua kupanga mikakati madhubuti ya kujiimarisha ndani ya chama.

Kiongozi huyo mashuhuri nchini aliyasema hayo alipokuwa akifungua mkutano wa baraza la Ushauri Mkoa wa Kagera lililofanyika Karagwe na kuhudhuriwa na viongozi wa majimbo yote ya mkoa wa Kagera.

Dr Slaa alisema moja ya mikakati ya chama chake ni kuajiri Makatibu wa Chama kote nchini.Pia Kiongozi huyo makini nchini alisema mikakati mingine ni kugawa Pikipiki kila Kata kwa ajili ya shughuli za chama na pia kujenga ofisi za kudumu kote nchini na zenye hadhi.

Kiongozi huyo anayetenda kwa mujibu wa maneno yake amewahakikishia viongozi hao wa chama kwamba atahakikisha mambo yote hayo yatasimamiwa kwa ukamilifu.

Source:Tanzania Daima

Kimsingi chadema wanahitaji kutekeleza hiyo mikakati mapema sana. Kuajiri makatibu wa chama wa Wilaya na Mikoa, na kujenga ofisi za chama kutasaidia kujiimarisha na kuongeza nguvu zaidi hasa vijijini. Viva CDM, go for these strategies ASAP!
 
Katibu mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA Dr Wilbroad Slaa amesema chama chake kimeamua kupanga mikakati madhubuti ya kujiimarisha ndani ya chama.

Kiongozi huyo mashuhuri nchini aliyasema hayo alipokuwa akifungua mkutano wa baraza la Ushauri Mkoa wa Kagera lililofanyika Karagwe na kuhudhuriwa na viongozi wa majimbo yote ya mkoa wa Kagera.

Dr Slaa alisema moja ya mikakati ya chama chake ni kuajiri Makatibu wa Chama kote nchini.Pia Kiongozi huyo makini nchini alisema mikakati mingine ni kugawa Pikipiki kila Kata kwa ajili ya shughuli za chama na pia kujenga ofisi za kudumu kote nchini na zenye hadhi.

Kiongozi huyo anayetenda kwa mujibu wa maneno yake amewahakikishia viongozi hao wa chama kwamba atahakikisha mambo yote hayo yatasimamiwa kwa ukamilifu.

Source:Tanzania Daima

- Yaaani huyu Mzee huwa ananishangaza sana, yaani Chama hakina wanachama kabisa Zanzibar wala Songea, lakini yeye anakimbilia kufungua matawi Ughaibuni na sasa eti atawaajiri Makatibu kila Mkoa, yaani hawa Chadema na huyu Mzeee hawana jipya lao, kila siku kuiga toka CCM, sasa nimeamini kwamba kinyago ulichokichonga mwenyewe hakiwezi kukutisha!!

Le Mutuz!!
 
Tanzania hatuendelei kwa sababu pesa zetu zote zinaishia kwenye mambo ya siasa!

Mkuu wewe ni sawa na wale Viumbe wanao Kuwa kwenye Msafara Wa Mamba, unapinga usicho Jua, SIASA inahitaji Pesa, hata Huko kwa walami huoni kwenye Kampeni zinatumika Bilioni za Pesa?
 
- Yaaani huyu Mzee huwa ananishangaza sana, yaani Chama hakina wanachama kabisa Zanzibar wala Songea, lakini yeye anakimbilia kufungua matawi Ughaibuni na sasa eti atawaajiri Makatibu kila Mkoa, yaani hawa Chadema na huyu Mzeee hawana jipya lao, kila siku kuiga toka CCM, sasa nimeamini kwamba kinyago ulichokichonga mwenyewe hakiwezi kukutisha!!

Le Mutuz!!

Maneno yako unayotoa hapa JF yanakuonyesha wewe ni mtu wa hovyo kabisa usiye na maana yoyote.Ni matusi makubwa kwa Mzee Malecela kuwa na mtoto kama wewe.
 
- Yaaani huyu Mzee huwa ananishangaza sana, yaani Chama hakina wanachama kabisa Zanzibar wala Songea, lakini yeye anakimbilia kufungua matawi Ughaibuni na sasa eti atawaajiri Makatibu kila Mkoa, yaani hawa Chadema na huyu Mzeee hawana jipya lao, kila siku kuiga toka CCM, sasa nimeamini kwamba kinyago ulichokichonga mwenyewe hakiwezi kukutisha!!

Le Mutuz!!

Mkuu Mama Mdogo anahesabu Siku Pale SAME, waiti 2015 ndo utajua kama CDM wanafanya masihala, nakuhakikishia Mama Mdogo harudi kamwe Mjengoni na Ndo itakuwa mwisho wa Jina la Malecela, Haina haja ya Kukaa kubishana tusubiri tuone
 
- Yaaani huyu Mzee huwa ananishangaza sana, yaani Chama hakina wanachama kabisa Zanzibar wala Songea, lakini yeye anakimbilia kufungua matawi Ughaibuni na sasa eti atawaajiri Makatibu kila Mkoa, yaani hawa Chadema na huyu Mzeee hawana jipya lao, kila siku kuiga toka CCM, sasa nimeamini kwamba kinyago ulichokichonga mwenyewe hakiwezi kukutisha!!

Le Mutuz!!
songea unayeongelea ni ipi? Ya tanzania au! Madiwani wote wa city/town center songea ni wa cdm! Mkuu kama ni uwongo hapo umetumia wa magamba. Ccm imeshikwa kotekote si magharibi,kusini ,kaskazini hata mashariki. Kama ni kuiga au kukopi ccm ni balaa, eti kinana ana muiga dk slaa kuhusu kupunguza gharama za vifaa vya ujenzi. Naamini ccm itazikwa muda si mrefu!
 
Kwani lazima watutangazie sisi mikakati yao? Si wafanye kimya kimya? CCM wakiwadaka itakuwaje?

wewe unaonekana ulikua unachunga ng'ombe zamani,elimu ya kufuta ujinga ilikupitia mgongoni.Hivi unaweza kutufafanulia ulitaka dr slaa ayasemee wapi hayo aliyoyasema? Au we ni nyoka wa Nape sometimes unakurupuka unaandika kitu hata hujui uanzie wapi..
 
Back
Top Bottom