Tusubiri Bomu Lingine Baada ya Uchaguzi Kulipuka TIB ( Tanzania Investment BanK)

payuka

JF-Expert Member
Jun 17, 2010
829
127
Kitendawili? Tega!

Hivi pesa za kilimo kwanza kupitia TIB unadhani ni nia thabiti ya kukisupport kilimo chetu Tanzania? Tusubiri baada ya uchaguzi tuone!

Yangu Macho!
 
Kweli hii inatia mashaka sana!lakini hakuna siri duniani itajulikana tu!
 
Tunakumbuka alipeleka shs.100bln.Hii alisema wakati anafungua tawi la bank ya KCB Himo-moshi tunakumbuka vizuri sana, tuvute subira
 
Tunakumbuka alipeleka shs.100bln.Hii alisema wakati anafungua tawi la bank ya KCB Himo-moshi tunakumbuka vizuri sana, tuvute subira

Wanamahesabu and analysts, tukae mkao wa kuanza kazi baada ya uchaguzi. Ukweli utajulikana tuu hata iweje.
 
Na Huyu Mh. Peter Noni Tutakuja msikia tu kama alivosikika mzee wetu Balali, Simuombei mabaya lakini kwa jinsi upepo unavokwenda tutayasikia tu!
 
Ha ha ha, hii ndo Tanzania bwana embu check akili za Mukulu wa nchi. We jua tu akikuweka mahali lazima uwe shap kumtumikia, akikuambia vuta 1billion niweze ku-finance adverts zangu nchi nzima ..ni lazima utekeleze! inatia uchungu lakini ndo hivyo political decions sio future oriented, tunaangalia lililopo leo....kesho wananchi hata wakila nyasi ni sawa tu!

TANZANIA

Peter Noni at the head of the TIB

President Kikwete's decision to place a former advisor to the BoT's late governor Daudi Ballali at the head of the Tanzania Investment Bank is very controversial

http://www.africaintelligence.com/ION/business-circles/2009/06/06/peter-noni-at-the-head-of-the-tib%2C63391604-ART-login
 
Maadamu Dr. Slaa anakuja, basi Peter Noni na yeye aanze kutafuta Vaseline maana Keko ameshapatiwa kitanda.
 
Kitendawili? Tega!

Hivi pesa za kilimo kwanza kupitia TIB unadhani ni nia thabiti ya kukisupport kilimo chetu Tanzania? Tusubiri baada ya uchaguzi tuone!

Yangu Macho!

Bomu jingine linawasubiri CCM ni la TANROADS -- kama alivyotdokezea Dr Slaa akiwa maeneo ya Kasulu. mabilioni ya hela za kujenga barabara yamegawiwa wagombea ubunge wa CCM -- na mmoja wao namfahamu -- simtaji sasa hivi. Natafuta wakati muafaka.
 
Haya bradha, twakusubiria ututajie, kwani hapa JF twaongea kwa uwazi.
 
Back
Top Bottom