Tusker Malt vs Ndovu

[h=2]Tusker Malt vs Ndovu[/h]
Hizi bia zina fanana kwa kiasi kibukwa sana. Wajuzi wa mambo naomba mnijulishe ipi ni bomba zaidi?
Kwenye red pls ni malt or Beer mimi najua kuna Tusker Lager and Ndovu Lager kwa hiyo huwezi kulinganisha Tusker Malt and Ndovu lager.
 
Mimi nimekuelewa 'kukubwa zaidi';
kama uko strong pata hiyo ndovu sababu haina limit ya muda
kwa hiyo malt inahitaji timing na mida ya tution, ila haina gharama na ujiandae kwa usanii na mitego
 
Nilikuwa mnywaji wa ndovu siku nyingi hadi ikabadilishwa hii mpya ya kijani. Ndovu ni nzuri.
Lakini kuna siku nilikuwa kwenye sherehe ndovu ikaisha nikapewa option ya Castle lite, sijaiacha tangu siku iyo. Ni Noma.
Basi iyo tasker malt nayo nimeinywa, ina kitu flani shakijakaa sawa, hata chupa haikuisha nikaagiza castle lite.
Back to your question Tusker malt vs Ndovu
Umepata jibu.
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom