Nikiwa kama raia wa taifa hili na role mode wangu akiwa rais wangu wa jamuhuri ya Tanzania napenda kuukumbusha umma wa watanzania na rais wangu mpendwa kuwa niliwahi kuandika hapa yakuwa uteuzi wa Mh Makonda utatupaisha vijana ama utatupoteza ktk medal za siasa na kuaminiwa na Mh Rais.
Ikiwa umepita mwaka niliandika tena kwa mh Rais amuangalie huyu mkuu wa mkoa ama la sivyo kijana ana agenda ya siri na pindi akija kuijuwa tayari atakuwa amesha haribu ndani na nje ya serikali.
Labda niwakumbushe ndugu watanzani mchezo huu wa makonda aliuwanza pindi akiwa mkuu wa wilaya na kabla ya ukuu wa wilaya kiuhalisia uzalendo wa makonda kwa chama chake ama kwa kumlinganisha hata na Mh Nape nikama 0.00000001% hatuwezi hatakumfananisha na bendera ya chama.
Kitu kilichotokea ni kama ngekewa kama mnavyojuwa kina aliweza kucheza na hisia za mkuu wetu kiasi akaamini angemfaa ktk kuleta maendeleo ya mji na manadiliko chanya lakini jambo hilo limeheuka kuwa kiza kinene kwenye serikali yote na sasa ule utabiri wengi wetu tulio utabiri kwa muda mrefu umetimia.
Kiukweli kabisa Mh Makonda amekosea sana na niwakumbushe tu hili halitofautian na kitendo cha Dr Malechela kubashiri uwepo wa zika na akatumbuliwa. Kiukweli kabisa ndivyo makonda amefanya. Either kwa kujuwa ama kutokujuwa hakupaswa kuita majina ya watu hadharani na kuwahusisha na jinai ambayo vyombo vyetu vya ulinzi havija proof.
Tuseme kweli sheria zetu hazimpi mtu awaye yeyote nafasi kumuita mwenzake muhalifu bila yakuwa na ushahidi wenye mashiko.
Hili ni taifa huru tutake ama tusitake lazima tukumbuke utawala wa sheria ndio njia pekee yakuliomgoza taifa. Ubabe na vitisho havifai maana watu wakiamua kudinda hata vifaru havitoshi kuwamaliza.
Tuseme kweli Mh Makonda sio rais wa jamuhuri ila ni mtumishi kama watumishi wengine wa serikali sasa tusianze kumpakabrangi nakuficha hii dhambi.