permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 10,026
- 11,218
Mleta mada imebidi atafute maji baridi kwanza anywe, kaja na ujinga ujinga wake naona watu wakaamua kumvaa ipasavyo.
Mnavyopenda kuongea nyuma ya mikamera kuna hajagani kuhudhuria kwenye sherehe za wafanyakazi,Hata hivyo huwezi kujua matatizo ya wafanyakazi kwakuhudhuria sherehe za wafanyakazi matatio ya wafanyakazi yanatatuliwa mezani mengine yapo kisheriaKujua shida za wafanyakazi ni pamoja na kuhudhuria kwenye sherehe za wafanyakazi ili kujua kikamilifu matatizo ya wafanyakazi.
Leo hii ukisimama jukwaani ili kuvutia kura unajidai unawapenda wafanyakazi ni ulaghai wa kiwango cha utopolo(samahani mashabiki wenzangu wa yanga)
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
CHADEMA Ilani yao ni hiyo iliyotangazwa kwenye Mkutano wao Mkuu, nadhani hajapigwa chapa na ndiyo maana kwenye mikutano ya kampeni kila mgpmbea anaongea na kujinadi kivyake. Km mgombea Urais yeye, kama mwanasheria anajinadi kuhusu Katiba ya JMT, M/Rais kama mwanahabari ni uhuru wa habari; na wabunge wanatoa ahadi za maendeleo ya vitu. KAZI KWELIKWELI!!!Sijaiona mkuu. Ipo kwenye dakika ya ngapi?
Sasa nyie mnaohudhuria na kuandaa hizo sherehe kiasi cha kuzielewa kero za wafanyakazi ipasavyo mmewasaidiaje?
Wanawezakua hawajawahi kuhudhuria lakini haiwafanyi washindwe kutatua matatizo yao kwa vile nyie mmeshindwa.
Kujua matatizo ya Wakulima mpaka uhudhurie Nane nane? Kama ni hivyo utakufa bila kujua matatizo ya Wavuvi.
Hivi hawakuwa madarakani?CCM wamehudhuria kwa miaka yote mitano, hivyo wanajua matatizo ya wafanyakazi vizuri.
Siku wakiingia madarakani watayatatua.
Hizi sherehe za wafanyakazi zinaratibiwa na CCM kutokana na viongozi wa wafanyakazi kuwa makada wa CCM, na ndiyo sababu inawafanya wasiweze kuilazimisha serikali iwajali wafanyakazi, kwa kifupi hakuna chama cha wafanyakazi zaidi ya chama hicho kuwaongezea mzigo wafanyakazi kwa kuwatoza kodi zaidi!Kujua shida za wafanyakazi ni pamoja na kuhudhuria kwenye sherehe za wafanyakazi ili kujua kikamilifu matatizo ya wafanyakazi.
Leo hii ukisimama jukwaani ili kuvutia kura unajidai unawapenda wafanyakazi ni ulaghai wa kiwango cha utopolo(samahani mashabiki wenzangu wa yanga)
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
Aisee basi kazi ipo!CHADEMA Ilani yao ni hiyo iliyotangazwa kwenye Mkutano wao Mkuu, nadhani hajapigwa chapa na ndiyo maana kwenye mikutano ya kampeni kila mgpmbea anaongea na kujinadi kivyake. Km mgombea Urais yeye, kama mwanasheria anajinadi kuhusu Katiba ya JMT, M/Rais kama mwanahabari ni uhuru wa habari; na wabunge wanatoa ahadi za maendeleo ya vitu. KAZI KWELIKWELI!!!
lini Chadema ilikutana na TUCTA?
Na kwa miaka 5 watumishi wameteswa!Kujua shida za wafanyakazi ni pamoja na kuhudhuria kwenye sherehe za wafanyakazi ili kujua kikamilifu matatizo ya wafanyakazi.
Leo hii ukisimama jukwaani ili kuvutia kura unajidai unawapenda wafanyakazi ni ulaghai wa kiwango cha utopolo(samahani mashabiki wenzangu wa yanga)
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA