Tusiwadanganye wafanyakazi. CHADEMA haijawahi kuhudhuria Sherehe za Wafanyakazi kwa miaka mitano

Kujua shida za wafanyakazi ni pamoja na kuhudhuria kwenye sherehe za wafanyakazi ili kujua kikamilifu matatizo ya wafanyakazi.
Leo hii ukisimama jukwaani ili kuvutia kura unajidai unawapenda wafanyakazi ni ulaghai wa kiwango cha utopolo(samahani mashabiki wenzangu wa yanga)

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
Sisi waalimu woote tumesha kata shauri kwa pamoja kuikataa ccm na kura zetu tunaipigia cdm
 
Kujua shida za wafanyakazi ni pamoja na kuhudhuria kwenye sherehe za wafanyakazi ili kujua kikamilifu matatizo ya wafanyakazi.
Leo hii ukisimama jukwaani ili kuvutia kura unajidai unawapenda wafanyakazi ni ulaghai wa kiwango cha utopolo(samahani mashabiki wenzangu wa yanga)

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
Mikutano ya wafanyakazi au ya ccm
 
Kujua shida za wafanyakazi ni pamoja na kuhudhuria kwenye sherehe za wafanyakazi ili kujua kikamilifu matatizo ya wafanyakazi.
Leo hii ukisimama jukwaani ili kuvutia kura unajidai unawapenda wafanyakazi ni ulaghai wa kiwango cha utopolo(samahani mashabiki wenzangu wa yanga)

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
Adui namba moja wa taifa hili ni CCM
 
Kujua shida za wafanyakazi ni pamoja na kuhudhuria kwenye sherehe za wafanyakazi ili kujua kikamilifu matatizo ya wafanyakazi.
Leo hii ukisimama jukwaani ili kuvutia kura unajidai unawapenda wafanyakazi ni ulaghai wa kiwango cha utopolo(samahani mashabiki wenzangu wa yanga)

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
Takwimu zisizo rasmi zinaonyesha kwamba Watumishi wa umma wapo Kama 500,000/- nchi nzima bado ni kundi Dogo sana linaloweza kukupa jamo theluthi ya Kura.

Hoja hii imekaa ki propaganda za kiwango cha jalalani kabisa.

Wakafikirie tena hoja zenye mashiko
 
Kujua shida za wafanyakazi ni pamoja na kuhudhuria kwenye sherehe za wafanyakazi ili kujua kikamilifu matatizo ya wafanyakazi.
Leo hii ukisimama jukwaani ili kuvutia kura unajidai unawapenda wafanyakazi ni ulaghai wa kiwango cha utopolo(samahani mashabiki wenzangu wa yanga)

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA

Siku moja ya kuhudhuria sherehe za Mei mosi haikuwezeshi kujuwa matatizo ya wafanyakazi, bali ufuatiliaji wa matatizo ya Wafanyakazi kwa muda mrefu.
 
Kujua shida za wafanyakazi ni pamoja na kuhudhuria kwenye sherehe za wafanyakazi ili kujua kikamilifu matatizo ya wafanyakazi.
Leo hii ukisimama jukwaani ili kuvutia kura unajidai unawapenda wafanyakazi ni ulaghai wa kiwango cha utopolo(samahani mashabiki wenzangu wa yanga)

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
kuhudhuria ndo kujua hujui kuwa dunia ni kijiji sherehe zote za mei mosi huwa live hata ukiwa marekani waweza jua nini kinaendelea acha ushamba
 
kwa nini mlisusa?yaani leo kwenye uchaguzi ndio mnaibuka kujidai mnawapenda wafanyakazi??
 
Wewe jingalao unachosha sana humu. Mbona unatumia nguvu nyingi Sana, unapata muda wa kula kweli, kukaa na familia, kupata mawzo mbadala nje ya hayo ya Lumumba?
 
Unayechoka ni wewe...siwezi kuchoka kuutetea umma
 
mpelekeeni mbowe lawama kwa kuwasusa wafanyakazi kwa miaka mitano...mimi nimewakumbusha tu
 
Back
Top Bottom