Tusiupuuze Msiba vilio vitatuandama

VAPS

JF-Expert Member
Jul 10, 2012
5,610
13,160
Nafatilia sana hotuba zake zote, anaonekana kwa ujasiri ule wapo watu/mtu mzito nyuma yake si bure.
Anawakilisha mawazo na mtazamo wa mamlaka za juu sana za uongozi wa taifa letu.
Endapo maalamka za juu zina fikiri wale wote wanaofikiri na kutoa mawazo na mtazamo mbadala ni wasaliti! Na adhabu yao wanasitahili kuzimishwa na kupotezwa,( Kuuwawa) Rejea hotuba yake leo:..." ....poteza 2 million 2 wawe Salama..."
Hivyo huenda kutekwa,kupotezwa,kuuwawa ni Sera halali utawala Awamu hii!?
Mbona Kafulila aliibua tuhuma Escrow na baada kuthibitika hadi leo yupo hai na analitumikia taifa!?
Maoni yangu Tuache fikra finyu wakosoaji wengi wana dhamira njema kujenga na kuboresha umoja wa taifa letu.
 
Musiba ni wa kupuuzwa tu
 
Pia musiba aache kutumbua mimacho anavyoongea kama mjusi aliyebanwa na mlango, au ndio njia ya kuficha aibu ya mtu mzima avyotema propaganda?
 
Anaemtumia itakua ni yule ambaye "ZERO BRAIN". Anaekurupuka kwenye kila jambo bila kufikiri. Hakuna mwingine, japo kua akili yake inamdanganya ya kua yeye ana akili kuliko raia wote tanzania, na ndio mwenye akili zaidi ku "master plan" kila kitu hata zaidi ya vyombo vya dola.
 
Huu mchezo ni hatari, tunajenga taifa la hovyo, tunavyombo vya usalama vina ujuzi na weledi Majukumu yao. Huu Ushamba tunaharibu umoja na ustawi wa taifa letu.
 
Back
Top Bottom