Tusitumie miili yetu kitegauchumi cha mapato-tukielekea weekend | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tusitumie miili yetu kitegauchumi cha mapato-tukielekea weekend

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, Oct 1, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Oct 1, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,427
  Likes Received: 5,687
  Trophy Points: 280
  Wapwa habarini za mchana wengine asbh wengine kwao usiku basi tu comp aisemi lakini yoote kwa wale leo ijumaa wapendwa si haba kuangalia tutaondokanaje na laiti ningalijua..tusije lalamika
  nikimaanisha si vyema ukaaribu mwili wako kwa uzinzi kwa kuwa n weekend na unatakiwa kutumia
  yapo mambo ama sehemu nyingi za kwenda usiku wa leo kuna mkesha sehemu zifuatazo

  KIBAHA- KANISA LA VICTORY CHURCH

  UFUFUO NA UZIMA -PALE KAWE

  Na mengine mengi tu kumbuka usingizi sana ni dhambi kumbuka kumwabudu mungu wangapi wameshindwa kuiona leo hii unaposoma wewe hii msg je umempa muungu nini ama una nini uwe na uhai mpaka sasa..paulo anasema ni neema ya mungu tu imenifanya niwe hivi nilivyo
  je si bora ukaanza kuutafuta ufalme wa mungu upate uheri wa maisha yako ya mileele
  je mbinguni utakunywa SERENGETI.KILIMANJARO,VYALUUUUU,KONYAGI la hasha kula neno la mungu ukishindia mwili wako madhabahuni

  Jribu leo uone baaraka za mungu,,najua zipo sehemu nyingi zikiwa na wanaume kwa wanawake wakiwasubiri wale wasio wake muumba..lakinisi haba ukasikia sauti hii na kuogopa kwenda kufanya uhasi wa uzinzi..usitumie miili yenu kama sehemu za kutengenezea pesa ama kujifurahisha...ndio maana kwenye sanduku unakuwa pekeyako..wale wakina nani mnaofwata mshikaji kaenda huku angalia sana utalia akiwa ndani ujui anavaa nini ...wewe unakimbilia tu..polen sana na MUNGU atupe weekend njema

  rgds

  Appostlle Pdidy
   
 2. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #2
  Oct 2, 2010
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  Pdidy anachekesha sana. Unajua fika kuwa kuna watu wengi miili yao wanaitumia kama vitega uchumi, watu wamefaulu mitihani kwa kutumia miili yao, watu wamepata ubunge na uwaziri kwa kutumia miili yao, wengine hata wamepata hata pesa na magari kwa kutumia miili yao. Uzinzi imekuwa ni way of life kwa sasa, ukitaka kujua angalia mahudhurio ya guest house na makanisani, au guest house na misikitini utaona kuwa guest house zinawateja wengi sana kuliko misikiti na makanisa.
   
 3. m

  mpangwa1 JF-Expert Member

  #3
  Oct 3, 2010
  Joined: Jul 19, 2009
  Messages: 279
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  wee Pdidy sasa hela za EPA sitatumikeje kama watu hatumii miili yao...
   
 4. e

  ejogo JF-Expert Member

  #4
  Oct 3, 2010
  Joined: Dec 19, 2009
  Messages: 994
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35

  Well said Pdidy!!
   
Loading...