Naipendatz
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 5,079
- 8,219
Wewe unaogopa dunia? Kwa hiyo nchi ishindwe kuendesha mambo yake kisa kuangalia dunia itasema nini? Jiamini mzee, nilikuwa na wasiwasi na Samia mwanzoni kama anaweza kuwa na misimamo, now kanitoa huo wasiwasi. Mbowe atapelekwa mahakamani kujibu tuhuma zake, hapo ndipo kila kitu kitawekwa wazi. Kama hana kosa ataachiwa. BTW sifurahii mtu yeyote kukaa mahabusu, kule ndani hakufaiWewe ni mgeni na mambo yanayotendeka nchi hii. Hata mtoto mdogo anajua kwamba amebambikiwa kesi. Kuitwa “gaidi” aisee hapana hata kidogo. Wangetafuta hata kosa lingine. Hii itawatesa sana polisi maana dunia nzima wanajua hilo.