Naona umetuletea ushahidi wa 2015
Mtuhumiwa ni Tume ya uchaguzi.Kuna taarifa nyingine za kitumbafu Sana kama hii ya kwenu.
Kadanganyaneni pale ufipa.
Bila mtuhumiwa wala ushahidi, hii ni stori ya kutunga. Kwaheri kamanda.
Amini kuwa zimetengenezwa ili kuchafua uchaguzi,, we hujiulizi kwann unapata picha za kura tu ila za aliyekamatwa nazo hupati?
Wewe Ni takakaka sanaNi muhimu Sana wakati huu kuwa makini na taharuki au hamaki. Madai ya uwepo wa "kura feki" hata Kama yanatolewa na watu makini na wenye akili ni lazima yachukuliwe kwa uzito unaostahili. Hata hivyo yasichukuliwe Kama yanavyotolewa bila kuyahoji.
1: Hizi kura feki zimekutwa au kukamatwa wapi? Chumba cha kura, gari la kula, kwa mtu, mitaani, mtu kazificha kwenye begi au mfukoni?
2: Ni nani kakutwa na kura hizo? Msimamizi wa Uchaguzi, Kiongozi wa chama, wakala, kiongozi wa serikali, mgombea, Polisi? Huyo aliyekuwa nazi anaweza vipi kuziingiza chumba cha siri?
3: Hizi kura feki siyo zile zenye alama za "SPECIMEN"? Au ni makaratasi ya mfano?
4: Kama hizi karatasi ni halali NEC kwanini wanachelewa kutoa maelezo na kuondoa taharuki? Usije kuwa wamekuwa compromised kiasi kwamba hawajui karatasi za kura ziko wapi na isije kusababisha kufutwa kwa uchaguzi mkuu kwa kisingizio cha karatasi za kura kuibwa.
IGP Sirro na wenzako hapa ndio mnatakiwa kuwafanya vijana watulie. Tayari wapi walioanza kuhamaki.
halahala mti na jicho.
Tusitengeneze taharuki na hamaki isiyo ya lazima.
Huyu tangu apate ujira wake akili nazo zimeenda kushotoTeknolojia imewaumbua!
Hujaona wameonesha mpaka kadi ya waliomdaka na hizo kura tena mbele ya Polisi?
Mnafiki mkubwa we!
Angetamani kuona anarejea ushawishi na ujenga hoja aliokuwa nao hapo mwanzo...ila ndio hivo tenaTeknolojia imewaumbua!
Hujaona wameonesha mpaka kadi ya waliomdaka na hizo kura tena mbele ya Polisi?
Mnafiki mkubwa we!
Kura Feki Kigoma.
Za siku nyingi Kaka Mkubwa. Umepotea Sana.Ni muhimu Sana wakati huu kuwa makini na taharuki au hamaki. Madai ya uwepo wa "kura feki" hata Kama yanatolewa na watu makini na wenye akili ni lazima yachukuliwe kwa uzito unaostahili. Hata hivyo yasichukuliwe Kama yanavyotolewa bila kuyahoji.
1: Hizi kura feki zimekutwa au kukamatwa wapi? Chumba cha kura, gari la kula, kwa mtu, mitaani, mtu kazificha kwenye begi au mfukoni?
2: Ni nani kakutwa na kura hizo? Msimamizi wa Uchaguzi, Kiongozi wa chama, wakala, kiongozi wa serikali, mgombea, Polisi? Huyo aliyekuwa nazi anaweza vipi kuziingiza chumba cha siri?
3: Hizi kura feki siyo zile zenye alama za "SPECIMEN"? Au ni makaratasi ya mfano?
4: Kama hizi karatasi ni halali NEC kwanini wanachelewa kutoa maelezo na kuondoa taharuki? Usije kuwa wamekuwa compromised kiasi kwamba hawajui karatasi za kura ziko wapi na isije kusababisha kufutwa kwa uchaguzi mkuu kwa kisingizio cha karatasi za kura kuibwa.
IGP Sirro na wenzako hapa ndio mnatakiwa kuwafanya vijana watulie. Tayari wapi walioanza kuhamaki.
halahala mti na jicho.
Tusitengeneze taharuki na hamaki isiyo ya lazima.
Wamesemaje??NEC waneshafafanua wapinzani waache kudanganya Umma
Wewe jamaa bhana na yule aliye kimbia na box la kura kwa pikipiki nae ni upinzani wamemtengeneza?Amini kuwa zimetengenezwa ili kuchafua uchaguzi,, we hujiulizi kwann unapata picha za kura tu ila za aliyekamatwa nazo hupati?
Kura feki CCM walipiga jana usiku, wakaziweka kwenye mabegi halafu walipofika asubuhi mapema kwenye vituo wakaingiza ndani ya vituo, ndio kama Zitto anavyokwambia alikutana na mtu kabeba sanduku limejaa kura anazitoa kama vile watu walishapiga zikajaa,kumbe ni uongo saa moja asubuhi hilo sanduku limejazwa na nani wakati wapiga kura walikuwa bado hawajafika?!Kama kweli umeandika hii kwa makusudi kabisa bila kukusudia kupotosha basi you are out of touch with reality.
Kura feki ni kura zilizopigwa (i) nje ya kituo na/au (ii) ndani ya kituo zisizo halali.
Nje ya kituo ni zile ambazo zimepigwa tayari zinazoingizwa ndani ili zijumuishwe na kura halali.
Hizi ni same ballot paper na hizo halali hivyo huwezi kusema ni “fake” zikishachanganywa na kura halali.
Njia rahisi sana ya kudhibiti hii ni kupekua wote wanaoingia na mifuko au mabegi kwenye vituo mbele ya mawakala wote.
Hii haifanyiki. Kwanza mawakala wanakamatwa na kufukuzwa vituoni. Wengine hawaruhusiwi kuingia vituoni.
Hakuna anayepekuliwa akiingia kituoni.
Inaonyesha kuna watu wana access na ballot papers na wameshazitumia kabla ya siku ya uchaguzi leo.
Kura zisizo halali ndani ya kituo ni pale vituo vinapofungwa na kukosekana mawakala wa upinzani. Karatasi zilizobaki zinapigwa kura feki na kujumuishwa.
Kama upo Tanzania na umeenda kituo chochote utaona hizi weakness. Kama umekutana na wakuu wa wilaya au wakurugenzi wa uchaguzi kituoni utaelewa hili.
They are above the law. Mbaya zaidi kuna watu wamekamatwa na kura feki.
Ni jambo moja kushabikia mtu au chama, ni jambo lingine kukemea uovu.
Wewe jamaa siku zote ni mnafiki tu. Toka enzi zile ukiwa CHADEMA. Mimi ni mwana CCM, ila haki kwanza.Ni muhimu Sana wakati huu kuwa makini na taharuki au hamaki. Madai ya uwepo wa "kura feki" hata Kama yanatolewa na watu makini na wenye akili ni lazima yachukuliwe kwa uzito unaostahili. Hata hivyo yasichukuliwe Kama yanavyotolewa bila kuyahoji.
1: Hizi kura feki zimekutwa au kukamatwa wapi? Chumba cha kura, gari la kula, kwa mtu, mitaani, mtu kazificha kwenye begi au mfukoni?
2: Ni nani kakutwa na kura hizo? Msimamizi wa Uchaguzi, Kiongozi wa chama, wakala, kiongozi wa serikali, mgombea, Polisi? Huyo aliyekuwa nazi anaweza vipi kuziingiza chumba cha siri?
3: Hizi kura feki siyo zile zenye alama za "SPECIMEN"? Au ni makaratasi ya mfano?
4: Kama hizi karatasi ni halali NEC kwanini wanachelewa kutoa maelezo na kuondoa taharuki? Usije kuwa wamekuwa compromised kiasi kwamba hawajui karatasi za kura ziko wapi na isije kusababisha kufutwa kwa uchaguzi mkuu kwa kisingizio cha karatasi za kura kuibwa.
IGP Sirro na wenzako hapa ndio mnatakiwa kuwafanya vijana watulie. Tayari wapi walioanza kuhamaki.
halahala mti na jicho.
Tusitengeneze taharuki na hamaki isiyo ya lazima.
Clever lady; very good point.Ila kura zote fake zina muhuri OG wa tume, kwa hali ya kawaida mpinzani au raia wa kawaida hawezi kuwa na acess ya muhuri wa tume...tume ni muhusika mkuu kwa kushirikiana na CCM
Wacha ubishi we babu, ushahidi wote wa kimazingira unaonesha CCM ndio wahusika wa hizo kura feki, usilete ubishi wako hapa wa majibu ya kuokoteza kujiokoa na hilo chama lako feki.We nawe kwani hujawahi kusikia watu wamekuwa na mihuri ya taasisi mbalimbali za serikali....
Kura watengeneze Chadema halafu wampigie mgombea wa CCM?!Kama kigogo anaeza access habari nyeti za serikali, mbona muhuli ni kitu kidogo sana kuupata. Hizo kura wametengeneza wao wenyewe CHADEMA.