Tusitegemee nyomi za watu kwenye mikutano uchaguzi mkuu ujao

Gulio Tanzania

JF-Expert Member
Jan 30, 2018
2,428
5,346
Kutokana na hali ya ukuaji wa matumizi makubwa ya mitandao habari zimekuwa zinafika kwa wakati hali hii mpaka tufike uchaguzi mkuu sizani kama nyomi zile tulizoziona chaguzi zilizopita zitaweza kuamua nani anakubalika au nani hakubaliki hii nimetoa kama angalizo kwa wale jamaa wakijani waliozoea kusomba watu kuwaleta kwenye mikutano narudia uchaguzi ujao hautaamuliwa na nyomi za watu kwenye mikutano
 
Back
Top Bottom